Unajuaje? Labda mwili kuuma inahusiana zaidi na tatizo linalokusumbua kuliko dawa ulozomeza...... wasiliana na anayekutibu isijekuwa tatizo linazidi kuwa kubwa.Wadau hivi ukinywa Omeprazole na neuroton mwili unakua unauma ndio kawaida zake hizi dawa yaani kifua mbavu mgongo vyote vinauma je niachane nazo
Nimeuliza Ili niweze kujua hizi dawa zinachosha mwili maana nimepewa hospitalUnajuaje? Labda mwili kuuma inahusiana zaidi na tatizo linalokusumbua kuliko dawa ulozomeza...... wasiliana na anayekutibu isijekuwa tatizo linazidi kuwa kubwa.
Kabadilishe dawa mkuuHospital
Kwa omeprazole sioni uelekeo na kuuma mwili.Nimeuliza Ili niweze kujua hizi dawa zinachosha mwili maana nimepewa hospital
Huwezi kutumia dawa inayoponya ugonjwa na kuanzisha ugonjwaKwanini mkuu
Sijawahi kutumia dawa yeyote mkuuKwa omeprazole sioni uelekeo na kuuma mwili.
Labda kwa neurotone nikitohoa kutokana na utendaji kazi wake. Zinasaidia fahamu na neva kufanya kazi vizuri zaidi. Hivyo ikiwa kulikuwa na shida mwilini lakini fahamu hazikuwa makini, basi ndiyo umeanza kuyahisi maumivu.
Lakini, pia labda umezidisha kuhisi ama umeacha kutumia dawa ya kukutia ganzi ndo maana maumivu yamerudi.
Je kabla ya hapo ulikuwa ukitumia dawa/drug zipi?
Peace GodPamoja sana nimekuelewa mkuu
Omiprazole sio dawa ndg better Amoxillin, ukitaka kuepuka maumivu kula asubuhi kunywa hasa uji wa lisheWadau hivi ukinywa Omeprazole na neuroton mwili unakua unauma ndio kawaida zake hizi dawa yaani kifua mbavu mgongo vyote vinauma je niachane nazo
kifua mbavu mzee kapime naimonia kwa kujiridhisha tu ila soma kwenye google side effects zitokanazo na matumizi ya dawa hizoWadau hivi ukinywa Omeprazole na neuroton mwili unakua unauma ndio kawaida zake hizi dawa yaani kifua mbavu mgongo vyote vinauma je niachane nazo
Hizo neuroton nilikusaidia mkuu?Wadau hivi ukinywa Omeprazole na neuroton mwili unakua unauma ndio kawaida zake hizi dawa yaani kifua mbavu mgongo vyote vinauma je niachane nazo
Pole sanaNimeambiwa Nina vidonda vya tumbo