WanaJamiiForums tunaokaa Tegeta tufahamiane

WanaJamiiForums tunaokaa Tegeta tufahamiane

Kila jioni njoo kaunta kubwa pale hisaje utanikuta napiga soga za oldies na DJ Jerry Koto huku nikipata safari baridiiii .............

Serious huyu Jerry Koto yupo? Siku moja nitawapa stori moja matata sana inayomhusu
 
Nasubiri uzi wa sisi wa Chanika Masantula tujuane.
 
Karibu kwa sisi watu k-moto utanikuta family bar weekend. Au kwenye fujo za Brazil kaunta ya Rachel.
 
I am waiting for my fellow Masaki people...quote me sooooon
 
Oya nimevua viatu hapa nje nimetoka job nani kaiba tunarudishana nyuma jamani vijana wa mitaa ya Wazo msikitini, tumain tuachen hizo elfu25 nyingi jamani..!!
 
Mm nakaa hapa Kwa ndevu, karbia na kanisa la roman
 
Serious huyu Jerry Koto yupo? Siku moja nitawapa stori moja matata sana inayomhusu

Hahaha....DJ Jerry Koto alipigwa zengwe na DJ Seydou lakini Mola si Le Mutuz DJ Seydou akafukuzwa yeye.....DJ John Dilinga alisimulia mkasa wote mtaa wa mangoma radio one.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom