WanaJamiiForums tunaokaa Tegeta tufahamiane

Edobeny

Senior Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
143
Reaction score
29
Karibu wadau inawezekana tunapishana njiani au viwanja kama kibo, bahari beach, ndege beach, hisaje, fyatanga e.t.c.
Mimi nakaa Tegeta jirani na bar ya BM. Pia napenda sana kuogelea hasa weekend Giraffe, Beach komba na Ndege beach. Karibu ufundishwe kuogelea
 
Karibu wadau inawezekana tunapishana njiani au viwanja kama kibo, bahari beach, ndege beach, hisaje, fyatanga e.t.c.
Mm nakaa tegeta jirani na bar ya BM. Pia napenda sana kuogelea hasa weekend Giraffe, Beach komba na Ndege beach. Karibu ufundishwe kuogelea

Wewe ni he/she?

Munkari unaitwa huku....
 
Last edited by a moderator:
Karibu wadau inawezekana tunapishana njiani au viwanja kama kibo, bahari beach, ndege beach, hisaje, fyatanga e.t.c.
Mm nakaa tegeta jirani na bar ya BM. Pia napenda sana kuogelea hasa weekend Giraffe, Beach komba na Ndege beach. Karibu ufundishwe kuogelea

Kweli Ajira Ni Janga Kuu Tanzania Linalopelekea Hadi Wanabuni Vishughuli Vya KIPOPOMA Ambavyo Havina Kichwa Wala Miguu. Dah Balaa!
 
Karibu wadau inawezekana tunapishana njiani au viwanja kama kibo, bahari beach, ndege beach, hisaje, fyatanga e.t.c.
Mm nakaa tegeta jirani na bar ya BM. Pia napenda sana kuogelea hasa weekend Giraffe, Beach komba na Ndege beach. Karibu ufundishwe kuogelea

Mimi nimetokea kwa mtogole street karibu huku kuna kila aina ya swimming pool na vifaa vyote vya michezo vipo.
 
Kila jioni njoo kaunta kubwa pale hisaje utanikuta napiga soga za oldies na DJ Jerry Koto huku nikipata safari baridiiii .............
 
Haha! Hisaje kwa wazee wa system. Ntakucheki mkuu
 
gharama zako na simu yako no
unafundishia wapi zaidi
Hakuna malipo yeyote. Mahali inategemea ila mara nyingi nakuwa Ndege beach sababu population ya watu ni ndogo na privacy ni kubwa
 
duuu penda saana pale ndege beach pako poaa usalama wa kutoshaa umenikumbusha mbalii saaana duuu
 
babes nataka kujifunza kuogelea...
Edobeny nikiruhusiwa tu nitaujulisha tuanze darasa weekend hii[/QUOTE
Ukiruhusiwa just tell me. Ila weekend hii sio nzuri viwanja vinajaa watoto kwa sikukuu so sio rahisi watu wazima kufundishana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom