Shule gani iyo nami nimpeleke mwanangu akajifunze elimu nyingine zaidi ya kukariri mtaala wa serikaliUko sahihi. Nimepeleka mtoto shule fulani. Wanafunzi wote wanatakiwa waondoke angalau na ufundi stadi wa aina fulani. Ukizembea unakamatwa hata ukipata A zote masomo ya darasani. Huyu wa kwangu kaamua kujifunza kuwa dentist assistant na tayari anakwenda kufanya interns huko kwenye maofisi ya madentist na wengine wanamlipa. Jirani yangu hapa mtoto wake amejifunza ufundi magari. Wamefundishwa oil change, brake system na matatizo mengine ya juu juu. Ameongezea na welding. Wengine wanajifunza ufundi umeme. Vyote mkazo ni practicals. Nimependa sana utaratibu huu. Wakati wa kukaririshana nadharia peke yake umepitwa na wakati...
Ni kweli. Hapa natamani niwe carpenter, sijui naanzia wapi na uzee huumm nasemaga siku zote, Kazi za ufundi ni nzuri jamani. Jifunzeni ufundi jamani
Eyce una umri gani??Don't expect too much too soon brother
Ukiona umechoka na una uwezo wa kupumzika, fanya hivyo ili baadae uje uendelee na hustles
Amini I can feel your state of mind mzee,
ila amini pia mchawi ni muda tu, ukifika umefika maana wanasema haijalishi usiku wako ni mrefu kiasi gani ila asubuhi ijapo KUTAPAMBAZUKA.
Shule gani mkuuUko sahihi. Nimepeleka mtoto shule fulani. Wanafunzi wote wanatakiwa waondoke angalau na ufundi stadi wa aina fulani. Ukizembea unakamatwa hata ukipata A zote masomo ya darasani. Huyu wa kwangu kaamua kujifunza kuwa dentist assistant na tayari anakwenda kufanya interns huko kwenye maofisi ya madentist na wengine wanamlipa. Jirani yangu hapa mtoto wake amejifunza ufundi magari. Wamefundishwa oil change, brake system na matatizo mengine ya juu juu. Ameongezea na welding. Wengine wanajifunza ufundi umeme. Vyote mkazo ni practicals. Nimependa sana utaratibu huu. Wakati wa kukaririshana nadharia peke yake umepitwa na wakati...
Natamani kujua kama hutojalisio mkubwa kiivyo maana ni middle age tu
kwa nini umeuliza Anne
PM labda 😊😊
Taja tu kwa rangePM labda
ngoja nimodifyTaja tu kwa range
Mfano maybe 20-23
24-27
28-35
Au ni sawa tu,nitumie hata huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si utaje tu specific agengoja nimodify
27 - 33
kwa nini unauliza lakini
Ni kweli. Hapa natamani niwe carpenter, sijui naanzia wapi na uzee huu
nakuja pm kuondoa jam
Taja tu,acha uoganakuja pm kuondoa jam