WanaJamiiForums nakuja kwenu kukiri maisha ni magumu, naomba mnisaidie nipate kazi

Uko sahihi. Nimepeleka mtoto shule fulani. Wanafunzi wote wanatakiwa waondoke angalau na ufundi stadi wa aina fulani. Ukizembea unakamatwa hata ukipata A zote masomo ya darasani. Huyu wa kwangu kaamua kujifunza kuwa dentist assistant na tayari anakwenda kufanya interns huko kwenye maofisi ya madentist na wengine wanamlipa. Jirani yangu hapa mtoto wake amejifunza ufundi magari. Wamefundishwa oil change, brake system na matatizo mengine ya juu juu. Ameongezea na welding. Wengine wanajifunza ufundi umeme. Vyote mkazo ni practicals. Nimependa sana utaratibu huu. Wakati wa kukaririshana nadharia peke yake umepitwa na wakati...
Tutajie Jina la hiyo Shule pls, Kwakweli huo Ni mfumo bora wa kuigwa na shule nyengine
 
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 25,

Nimemaliza chuo mwaka jana na degree ya sheria kutoka Chuo Kikuu kimoja huko Arusha, lakini tangu nimalize chuo niliamua kuhamia Dar es Salaam na kujichanganya kwa vibiashara vya hapa na pale kama mnavyojua tatizo la ajira kwa sasa, kweli nimejaribu sana kuuza hiki na kile kama viatu, nguo, vyakula, ila kila ninachofanya kinafeli mahitaji yanazidi kipato, mpaka muda huu ninavyo andika hapa hata ule mtaji kidogo nao nimelipa kodi.

Nimeuza karibia assets zote nilizonunua kipindi nipo chuo, nimebaki na kitanda na godoro tu na jiko navyo kama maisha yataendelea kuwa hivi nitauza navo nirudi nyumbani tu

Sioni thamani yakusoma kabisa, najuta muda niliopoteza nisingeishi maisha mabaya kama haya, naomba mwenye connections ya kazi zifuatazo anisaidie japo nijiokoe nisiuze kitanda na godoro.

  1. Usaidizi wa kwenye magari ya mzigo,
  2. Saidia fundi, kubeba zege,
  3. Viwandani,
  4. Pia hata udereva naweza ingawa sina leseni ila naweza uza simu nikaipata, nisaidieni ndugu zangu

Vyeti vyote na ushahidi ninavyo.

Nawashukuru sana mungu awabariki ndugu zangu.
Mkuu,kama ukweli umehitimu sheria na huna tatizo lingine zaidi ya hilo PM
 
Uko sahihi. Nimepeleka mtoto shule fulani. Wanafunzi wote wanatakiwa waondoke angalau na ufundi stadi wa aina fulani. Ukizembea unakamatwa hata ukipata A zote masomo ya darasani. Huyu wa kwangu kaamua kujifunza kuwa dentist assistant na tayari anakwenda kufanya interns huko kwenye maofisi ya madentist na wengine wanamlipa. Jirani yangu hapa mtoto wake amejifunza ufundi magari. Wamefundishwa oil change, brake system na matatizo mengine ya juu juu. Ameongezea na welding. Wengine wanajifunza ufundi umeme. Vyote mkazo ni practicals. Nimependa sana utaratibu huu. Wakati wa kukaririshana nadharia peke yake umepitwa na wakati...
Shule gani hiyo?
Nipeleke vijana wangu ...
 
Mimi niko tayari mkuu nashindwa kukutumia message pm
kama wewe ni mrefu....
unavyo vyeti halali, kuanzia cha darasa la 7 na kuendelea.
una kitambulisho cha nida ama namba ya nida.
una cheti cha kuzaliwa
na una miaka kuanzia 24..
njoo pale mikocheni kwa mwinyi...ulizia zilipo ofisi za GARDAworld...
 
Niko mwanza
 
Uko sahihi. Nimepeleka mtoto shule fulani. Wanafunzi wote wanatakiwa waondoke angalau na ufundi stadi wa aina fulani. Ukizembea unakamatwa hata ukipata A zote masomo ya darasani. Huyu wa kwangu kaamua kujifunza kuwa dentist assistant na tayari anakwenda kufanya interns huko kwenye maofisi ya madentist na wengine wanamlipa. Jirani yangu hapa mtoto wake amejifunza ufundi magari. Wamefundishwa oil change, brake system na matatizo mengine ya juu juu. Ameongezea na welding. Wengine wanajifunza ufundi umeme. Vyote mkazo ni practicals. Nimependa sana utaratibu huu. Wakati wa kukaririshana nadharia peke yake umepitwa na wakati...
Shule gani hiyo mkuu?
 
Back
Top Bottom