Wanajamii msaada wenu ni muhimu na ushauri wenu tafadhali.

Wanajamii msaada wenu ni muhimu na ushauri wenu tafadhali.

Sukula

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
1,198
Reaction score
452
Habari wana jamii, natumaini wote hamjambo. Na kwa wale walio na shida na matatizo ya hapa na pale, nawapa ple sana......... wana jamii kuna jambo nataka kushare nanyi,ni kwamba kuna kijana mmoja anahitaji msaada wa hali na mali...kiufupi ni kwamba kwao walizaliwa watatu na yy akiwa ndio wa kwanza lkn ilipofika miaka ya 2000s wazazi wake walifariki na yy ndio akabeba jukumu la kulea familia hadi pale ilipozidi kuwa ngumu sn ndio akaamua kunitafuta kwani tuliwahi kuishi nao mtaa mmoja huko shinyanga ,akiamini anaweza kupata msaada wowote toka kwangu.....kulingana na maelezo yake ni kuwa alisoma hd kidato cha 6 Nsumba sekondari na akapata div 3 pts 14 lkn hakuweza kuendelea na masomo kutokana na kukosa hela na pia ht vyeti hakuweza kuchukua,hivyo msaada aliokuwa akihitaji ni kuwa nimsaidie kupata kazi yoyote halali ambayo itamuwezesha kujikimu kimaisha pmj na wadogo zake au msaada wa kumpeleka chuo kwa ngazi ya dipl hasa ualimu ili aweze kuapata kazi kiurahisi.........kwa upande wangu,natamani sn kumsaidia lkn kulingana na kiapto change,sina uwezo wa kubeba gharama zote peke yangu ndio maana jambo hili nimelileta hapa ili tusaidiane kupata mawazo na jinsi ya kumsaidia........huenda nikawa sijaeleweka vzr,kwa wale watakaohitaji maelezo zaidi kijana anapatikana kwa 0767-060716 nakwasasa yupo shinyanga. Asnteni sn na karibuni kwa mawazo na ushauri.
 
... najua una mengi moyoni hadi unakosa uanzie wapi... pole sana!

anza taratibu tutakuelewa tu...
 
... najua una mengi moyoni hadi unakosa uanzie wapi... pole sana!

anza taratibu tutakuelewa tu...
Hapana ndg, wakati naandika nilitoka kidogo nikakuta mtoto amebonyeza ndio ikawa hivyo.
 
okey 2subir 2one organized itakuwaje,lakin kwanin tusimchangie hela ya kuchukua vyet ili iwe rahis kwake kupata fursa nzuri?mtazamo wangu.
 
ht mm nilikuwa nawaza hivyo, kwani angalau akipata vyeti inaweza ikawa rahisi pia kwa mambo mengine.
 
pole na matatizo kijana pamoja na hayo tuko pamoja na Mungu atakusaidia pia na usikate tamaa kwan hiyo ni sehem ya maisha ambayo umepangiwa kupitia kikubwa kaza mwendo na pambana ndo njia rahis ya mafanikio. NEVER GIVE UP KIJANA
 
Back
Top Bottom