Wanajamii forums tunzeni haya maneno.

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
11,457
Reaction score
22,791
Mimi de Gunner nasema ya kuwa niko katika maandalizi ya kuja kuwa mtu maarufu zaidi kutokea katika taifa hili, nakujulikana dunia nzima by 2040..

Na naamini miaka ya hivi karibuni by 2030 Nitakuwa maarufu katika hii nchi. Tunzeni haya maneno, nitajitangaza kabisa kuwa ni mimi.. Ili kila wanajamii forum waone ninavyo yafikia malengo yangu

Ninaandika haya sio kwa ajili ya kufurahisha au kutaka attention ya watu, bali ni kama continuous affirmation kwangu na kila asomaye hapa.

Kuna wengine ambao hawa amini on the power of affirmations in this world, but everything on this world is built for us.. It is just us to tap into the right vibration. The world is soo much bigger, and as Kanye west puts it, " the world is your your oyster"

We need to normalize saying out loud what we really want and need.
 
Mimi nitakuwa Chawa wako
 
Nukuu Nimehifadhi...,.
 
Kila la kheri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…