wanajamii forum wa shinyanga mpo?

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
573
140
habari za jioni ndugu zangu, nategemea kwenda shinyanga alhamisi kikazi. je ni hotel gani nzuri ya kufikia isiyozidi 50000
 
synga kubwa ndugu ila kama ni town nenda KARENA,VIGIMARK wametulia hotel moja ivi nimeisahau jina
 
Shy nimewahi kufika mara mbili nikitokea Dsm kwenda Bujumbura kuna hotel ya NYAKAHARA ina bei poa sana.
 
Hotel za Shy Hazizidi hata 20 elfu usiogope mkuu
Miji Mingi yenye madini huwa haindelei tz sijui kwa nini?
 
yani mkoa umekaa kiajabu haswa uwa nashindwa kuelewa kwanini uko vile, na madini yote yale?au labda uko vshinyanga yalipo madini ndo kumeendelea?
 
Kipipi aaaaah unamanisha mkoani wapi?ni baadhi ya mikoa ndo ipoipo tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom