Wanaitwa melamine wazuri eti🤔

Wanaitwa melamine wazuri eti🤔

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
59,889
Reaction score
173,100
Kuna black beut wazuri mno , ila sio kila black ni mzuri🤔

Kumekua na tafrani bara letu la afrika kuhusu black is beut😁


Hadi lingumbaru lenye rangi yake ya kenge nalo unakuta linadai black is beut ,gademitt 🤔

Nashindwa kualewa.
Screenshot_2026-09-17_074518.jpg
 
Back
Top Bottom