Wanahitajika business partners

Wanahitajika business partners

kuanzia laki 5 na kuendelea, kama nilivyosema, in this cycle inahitajika 10mil pekee ku-boost cash flow.
Karibu sana boss.
Kwahiyo kumbe kutakuwa na partner kadhaa sio mmoja, na ukiweka utalazimika kushughulika na mambo mengine au ukiweka una endelea na mambo yako tu kama hisa unasubiri return. maana mkanganyiko huu unakuja baada ya neno partner na share.
 
Kwahiyo kumbe kutakuwa na partner kadhaa sio mmoja, na ukiweka utalazimika kushughulika na mambo mengine au ukiweka una endelea na mambo yako tu kama hisa unasubiri return. maana mkanganyiko huu unakuja baada ya neno partner na share.

zoezi lote tutalimaliza sisi wenyewe, wewe ukishaweka ela yako utasubili returns zako kwa kipindi ambacho tutakuwa tumeelewana. swala la production, sales, distribution and collection of credits litakuwa juu yetu.
 
Je unaweza kunihakikishia usalama wa hela nitazochangia kwenye huo mradi wenu?
 
Je unaweza kunihakikishia usalama wa hela nitazochangia kwenye huo mradi wenu?
bila shaka, haya ndio mambo tunayoweza yajadiri pembeni, maana yana involve business privacy. Ila ondoa shaka juu ya swala la usalama wa fedha zako katika mradi huu.
 
Si supermarket zote, baadhi unaweza pata mzigo, kwa mfano unaweza kwenda A-Z Supermarket ya posta, Imalaseko Supermarket ya Dar free market, na mini markets nyingi bagamoyo za bagamoyo road na tabata. Bado tuna jukumu la kufikia zaidi ya outlets 350 kwa dsm pekee kabla mwaka haujaisha, cash-flow is an issue, ndio maana kwa sasa tunataka source cash kutoka kwa watu wengine kwa kipindi kifupi kipindi tunaangalia long term solutions.
Naweza kupata hizo dagaa kwa bei ya jumla?
 
Kweli pesa imekuwa adimu kwa wengi wetu,10m ilikuwa pesa ya kwenda nayo Dubai wikiendi,siku hizi majanga!!
Maisha yamebadilika kwa wengi!!
Unaweza kuta mleta mada akakosa mdau wa kushare naye biashara kisa 10m hakuna!!
 
Fungua page Facebook na Instagram then anza kutupia facts nadhani utapata wateja wa wholesale mikoani, kuhusu kupata mtaji wa ziada weka maelezo how the one will benefit?

Unajua hapa wasomi wengi hukosa fursa kama hizi coz wanafikilia Leo na kesho watapata kitu gani, hawa wazi mbali.

Entrepreneurs are risk takers..
 
COMPANY NAME: MUGETA FARMS
TRADEMARK/BRAND NAME: VICTORIA FINEST

KUHUSU BIASHARA:
Mugeta Farms co. ltd ni kampuni changa (startup company), kwa sasa inajihusisha na value addition ya dagaa, refer picha zilizoambatanishwa. Tuna-operate kutokea Mwanza, japo mauzo makubwa tunafanyia DSM. Nature ya biashara yetu inatulazimu kuuza bibdhaa kwenye supermarkets on credit basis, ambapo huchukua siku 30 hadi 60 kuweza lipwa.

MAHITAJI:
Tunanuia kupata project partners wataosaidia tuweze zalisha bidhaa ya kutosha, tukaiingiza sokoni, tukakusanya malipo, baada ya hapo ni makubaliono either ela irudi kwenye cycle ya uzalishaji au partner alipwe ela yake na faida yake. Kwa sasa tunahitaji ku-raise in total 10mil, Kiwango cha chini kikiwa TSh 500,000/=.

Ikumbukwe kwamba hii sio ununuzi wa hisa, bali ni pre-financing ya operations zetu which includes production, distribution & collection of funds. Bidhaa yetu ina increment ya bei kwa wateja wa jumla (mini markets & supermarkets) tunapokuwa tunawauzia bidhaa on credit basis. Mfano, Kama tunakuuzia kwa jumla on cash basis kwa TSh 3,500/=, on credit basis tutakuuzia kwa TSh 4,000/=. Tofauti hapo ni TSh 500/=, around 15%, na hii ndio profit utayopata mwekezaji. 15% profit in 60 days.

UBORA WA BIDHAA:
Naweza sema kwa sasa dagaa wetu ndio dagaa bora kabisa unaoweza pata kwenye supermarkets and mini-markets.
1. Hawana michanga kabisa, 100% guarantee.
2. Wana radha ya kuvutia sana, Wamekaangwa kwa mafuta masafi, Plus wamechanganywa na limao, tangawizi, chumvi na kitunguu saumu.
3. Wametengenezwa kwenye mazingira masafi.
4. Package yake ni safi sana compared to the rest in the market.

Tayari kuna outlets zaidi ya 50 kwa dsm pekee ambazo tayari tushaanza peleka mzigo, with enough funds tunataka fikisha outlests zaidi ya 400 kwa dsm pekee ifikapo december 2018, pia mzigo unasambazwa Kilimanjaro, Arusha na Dodoma. Japo distribution concentration kwa sasa ipo dsm, tuta replicate tunachokifanya kwa dsm kwa mikoa mingine pia muda muafaka utapofika.


Kama upo interested unaweza nipigia kwa namba 0713752285 au 0767777491. Pia unaweza tuma message whats app 0713752285 na email mateja@mugetafarms.com (Contact Name: Mateja Mugeta Geriga Yango)

Unaweza uliza maswali yako hapa pia, japo mengine ntalazimika kuyajibu in private, maana si kila kitu kuhusu biashara kinatakiwa kuwekwa hadharani.

Detailed information can be shared to your email.
Thanks.


View attachment 801455

View attachment 801456

View attachment 801457
 
Back
Top Bottom