Wanahitajika afisa masoko (9)

AMSHATZ

New Member
Apr 9, 2012
1
0
(tangazo lipo hai kwa siku 14 toka Aprili 09.2012)


VIGEZO NA WAJIBU



· UMRI MIAKA 18 NA KUENDELEA
· MKARIMU, MCHESHI NA RAFIKI WA WATU WOTE
· MWENYE MOYO WA KUJITUMA HATA ZAIDI YA MASAA YA KAZI
· MWENYE MAONO YA KUJIAJILI NA KUAJILI WENGINE SIKU ZA USONI
· MWENYE KUTAFUTA AJIRA SIYO ALIYE NA AJIRA ANATAFUTA NYINGINE
· MWENYE UZOEFU WA KUFANYA MAUZO NA KUJISIMAMIA MWENYEWE KATIKA KAZI
· MWENYE UWEZO WA UDADISI NA UTHUBUTU KWA VITENDO

· MWENYE MALENGO YA KUKUZA KIPATO BINAFSI KWA MUDA MFUPI
· KAMA UNAVIGEZO HIVYO FANYA HIMA BILA KUCHELEWA PASIPO KUJALI NGAZI YAKO YA ELIMU WALA TOFAUTI YOYOTE UNAYOJIJENGEA NDANI YA JAMII



MSHAHARA: MZURI NA GAWIO LA ASILIMIA 30 TOKA KATIKA KILA UZO KWA SIKU.



TUMA WASIFU WAKO AMA ANDIKA MESEJI UKIJIELEZA KWA KIFUPI KUPITIA MAWASILIANO HAYA;



amsha.tanzania@gmail.com

info@amshatanzania.org

+255 717 94 60 94



NUKUU MUHIMU: USIPIGE SIMU, UKIPIGA UTAKUWA UMEJIENGUA MWENYEWE



ZIADA: WALE WENYE KUKIDHI VIGEZO NDIYO WATAITWA KWA USAILI.
 
Asante kwa taarifa mkuu... Sisi wengine ni vyungu ganda la muwa wa jana kwetu ni vivuno, nitakutafuta
 
walewale wa kuvaa tai fupi na wasiopenda kusikiliza wenzao,wependa kulazimisha manunuzi! wale pale barabarani!
 
dah,kazi ngumu sana
twendeni kwa waganga ndugu zanguni
mtaani kunatusulubisha sana
 
mkuu bila shaka source ya tangazo hilo itakuwa ni kwenye mstimu wa umeme. Mambo ya msingi kwa muombaji ni pamoja na kuwa na leso na usafiri unaotumika mara nyingi ni uleule uliotumika kwenye azimio la Arusha
 
Back
Top Bottom