😂😂Uliaga unajitoa JamiiForums! Kulikoni tena?
Wajinga sana kwanza kwasasa siwaamini naona wale wale wachumia tumbo tu kWanataka Marekani aingilie Tanzani. Wanasahau wakiingilia kama Iran majengo ya chadema na afisi za wanaharakati nyingi zitapigwa drone
Wengi wanaosema hivi wako desperate.Wanataka Marekani aingilie Tanzani. Wanasahau wakiingilia kama Iran majengo ya chadema na afisi za wanaharakati nyingi zitapigwa drone
Ustaadh Malaria Sugu umesahau nini tena humu si uliaga kuwa hutakaa ukanyage tena humu?Utakuwa umevimbiwa biriani ya kitimoto wewe.Wanataka Marekani aingilie Tanzani. Wanasahau wakiingilia kama Iran majengo ya chadema na afisi za wanaharakati nyingi zitapigwa drone
Wanataka Marekani aingilie Tanzani. Wanasahau wakiingilia kama Iran majengo ya chadema na afisi za wanaharakati nyingi zitapigwa drone
Amesahau password ya ID mpya.Uliaga unajitoa JamiiForums! Kulikoni tena?
Imeonekana upupu wake bado wanahitaji wauone JF!Uliaga unajitoa JamiiForums! Kulikoni tena?
jamaa inatakiwa apelekwe haraka sana kwenye ile hospitali ya watu wenye matatizo yale kichwaniUliaga unajitoa JamiiForums! Kulikoni tena?
😃😄😁Amesahau password ya ID mpya.
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuhaWajinga sana kwanza kwasasa siwaamini naona wale wale wachumia tumbo tu k
Inaonekana unaizungumza Tanzania katika level ya Iran. US akitaka kuingia Tanzania hakuna jengo hata moja litalipuliwa. Kwa hawa makomandoo wanaopasuliana matofali kichwani ndio US atumie ndege za mabomu? Au yale mabunduki yenye kutu mliingia nayo kwenye maandamano ya mo29 ndio US atumie war jets?Wanataka Marekani aingilie Tanzani. Wanasahau wakiingilia kama Iran majengo ya chadema na afisi za wanaharakati nyingi zitapigwa drone
Mimi sio Ccm na wala sisapoti utawala huu hata kidogo ila sisapoti wanaharakati uchwara wachumia tumbo wapuuzi na wake wa marekani wapumbavu mnapigania haki vivyo hivyo mnasapoti uvamizi wa Marekani nchi Iran wapumbavu nyieCCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
Wengi wanafikiria na kijidanganya kwamba Tanzania inaweza kutunishiana msuli na US,Inaonekana unaizungumza Tanzania katika level ya Iran. US akitaka kuingia Tanzania hakuna jengo hata moja litalipuliwa. Kwa hawa makomandoo wanaopasuliana matofali kichwani ndio US atumie ndege za mabomu? Au yale mabunduki yenye kutu mliingia nayo kwenye maandamano ya mo29 ndio US atumie war jets?
Acha kabisa, nilipoona tu jeshi la kipuuzi ni ile mo29, yaani wanajeshi wanatembea kama 10 kwa raia wasio na silaha. US kwa ujinga ule si anapiga asubuhi jioni anafunga hesabu?Wengi wanafikiria na kijidanganya kwamba Tanzania inaweza kutunishiana msuli na US,
Yani hao Wamarekani wakitaka kutukalia kijeshi ni wiki moja tu wanaukalisha utawala wa CCM.
Tanzania kuna nini cha kupiga? Yaani USA wapige bomu ili kumwondoa Samia madarakani? Trump leo akitaka Samia aondoke kesho hatakuwepo, tena kwa kutumia social media tu.Wajinga sana kwanza kwasasa siwaamini naona wale wale wachumia tumbo tu k