Wanaharakati wengi wa Tanzania hawajitambui

Wanataka Marekani aingilie Tanzani. Wanasahau wakiingilia kama Iran majengo ya chadema na afisi za wanaharakati nyingi zitapigwa drone
Inaonekana unaizungumza Tanzania katika level ya Iran. US akitaka kuingia Tanzania hakuna jengo hata moja litalipuliwa. Kwa hawa makomandoo wanaopasuliana matofali kichwani ndio US atumie ndege za mabomu? Au yale mabunduki yenye kutu mliingia nayo kwenye maandamano ya mo29 ndio US atumie war jets?
 
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
Mimi sio Ccm na wala sisapoti utawala huu hata kidogo ila sisapoti wanaharakati uchwara wachumia tumbo wapuuzi na wake wa marekani wapumbavu mnapigania haki vivyo hivyo mnasapoti uvamizi wa Marekani nchi Iran wapumbavu nyie
 
Inaonekana unaizungumza Tanzania katika level ya Iran. US akitaka kuingia Tanzania hakuna jengo hata moja litalipuliwa. Kwa hawa makomandoo wanaopasuliana matofali kichwani ndio US atumie ndege za mabomu? Au yale mabunduki yenye kutu mliingia nayo kwenye maandamano ya mo29 ndio US atumie war jets?
Wengi wanafikiria na kijidanganya kwamba Tanzania inaweza kutunishiana msuli na US,
Yani hao Wamarekani wakitaka kutukalia kijeshi ni wiki moja tu wanaukalisha utawala wa CCM.
 
Acha kabisa, nilipoona tu jeshi la kipuuzi ni ile mo29, yaani wanajeshi wanatembea kama 10 kwa raia wasio na silaha. US kwa ujinga ule si anapiga asubuhi jioni anafunga hesabu?
 
Back
Top Bottom