WANAHARAKATI: MIGOMO haikwepeki... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WANAHARAKATI: MIGOMO haikwepeki...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by VUTA-NKUVUTE, Sep 11, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Zikisalia siku chache kufunguliwa kwa Vyuo Vikuu nchini,Wanafunzi Wanaharakati Vyuoni wamesema kuwa migomo haiepukiki. Wakizungumza nami katika nyakati tofautitofauti,wanaharakati hao wameapa kuwa vyuoni patachimbika. 'Kwa ubaguzi huu wa kozi fulani kupewa mikopo na nyingine kunyimwa,Vyuoni hapatakuwa sehemu salama kuishi' wametamba. 'Hatutakubali ubaguzi kwenye nchi yetu wenyewe' wakaongeza.

  Serikali na isikie...
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kazi ipo
   
 3. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135

  Mkuu, Vyuoni siku hizi kuna wanaharakati?! Tangu lini? Una uhakika ni vyuo vyote? Waliyasema hayo wapi? Wakiongea na wewe kama nani? ..Una uhakika kuwa si mawazo yako na ku-generalize kwamba hao "wanaharakati" wanasema hivyo? Source ya info?
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Kalaga baho...
   
 5. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee wangoje 2malize mwaka 3 ndio waanze hizo harakati
   
 6. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,875
  Likes Received: 4,726
  Trophy Points: 280
  Mbona umesahau kuweka Aiseee Babaangu. . . . .
   
 7. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanaharakati ama wanakupenda kuonekana kwenye tv na magazeti?
   
 8. bologna

  bologna JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 1,156
  Likes Received: 908
  Trophy Points: 280
  wanamezeshana sumu hao.
   
 9. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  aiseeee babaangu asante sana kwa kunikumbusha ni hasira coz nimeuza mbege kwa miaka 5 ili mwanagu amalize chuo mwakani alafu hawa wanataka kuanzisha migomo
   
 10. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  hamna lolote uharakati mzuri ni kuitoa ccm tu huo wa chuoni hauna maana kuna jamaangu alikuwa ivo ivo akafukuzwa mwaka wa tatu kisa mgomo na aliogoma nao wakasema daaah asante mungu sijafukuzwa so harakati mayai za chuoni hazifai
   
 11. Ezeki el

  Ezeki el Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  For those wanaotaka kuanzisha migomo, can they aford to loose 3yrs o more, hawajui thaman ya Muda. Maana agomae analazimisha mwingine amtatulie matatizo yake...watu kama hawa ndo wanakujaga kuwa viongoz wa ajab ajab wategemez kama hawa wa sasa tuwaonao
   
 12. K

  KALLAGO Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kugoma kunamaanisha ni uvivu wa kufikiri na ni umaskin wa mawazo
   
 13. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Sitokaa nishiriki kwenye migomo ya ajabuajabu. Nafahamu background ya familia yangu.
   
 14. B

  Best Mzava Senior Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu nifull pipoz power
   
 15. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hapa patamu!!! Rasilimali zinaishia mikononi mwa wachache wakati zingetosha kabisa kuwapa vijana elimu hadi Chuo Kikuu. Sasa polisi jiandaeni kuua kabisa na mabomu agizeni uchina ya kutosha maana mambo ha bodi ya mikopo yataleta tafrani sana. Ila ukipitia kwa makini na watoto wa vigogo waliosoma academy tena kwa ada ya 0ver 10 mil kwa mwaka wamo!!
   
 16. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kwanini migommo mingi mnafanya kinapofika kipindi cha mitihani?
   
 17. KIJAMBO

  KIJAMBO Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Raha ya msiba usikie kwa mwenzako n C kwako sa hata kufukuzwa kwa niaba YA mgomo iwe mwa mwenzako na c kwako,..... So be care na hiyo migomo yenuuuuuuu.
   
 18. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo c kugoma ila hata nyie mnao kashfu mawazo ya huyu jamaa jarb kufikir kwanza huo ubaguz kama watafanya ni watoto wangapi wa wakulima wataenda chuo? Na najua hata nyie baadhi yenu mmesoma shule zetu wanyonge mnajua fika kuwa hata huyo aliyechaguliwa course ya sanaa kaipata kwa nguvu gan.Alafu huyo huyo anapambanishwa na mtoto wa Marian nk kwenye mkopo kisa huyo marian kasoma sayansi hyo haki? Naomba majibu.
   
Loading...