Wanaharakati leo kufanya unthinkable action!

Wanaharakati leo kufanya unthinkable action!

Mchaga 25

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
464
Reaction score
114
Nyie mnao kaa nyuma ya computer kwenye ofisi zenye viyoyozi subirini muone!!!!
 
Nyie mnao kaa nyuma ya computer kwenye ofisi zenye viyoyozi subirini muone!!!!

Haya Mchaga 25 sisi tumeshakaa nyuma ya computer zetu tunasubiri nyie mnaoendesha harakati kwenye ukumbi wa habari maelezo mtueleze leo mnamkakati gani.
 
kilichofanyika jana pale makutano ya salender bridge ni jambo la muhimu sana imeonyesha ni jinsi gani wananchi wanaweza wakaamua na kufanya.
 
Ngoja nami niende kuungana nao, maana wameshatoa tangazo wanakusanyika pale LHRC
 
Ujumbe unafika lakini? Huyu waziri wa Afya bado anafanya nini? Si aondoke tu jamani, binadamu tuwe na aibu jamani.
 
Ujumbe unafika lakini? Huyu waziri wa Afya bado anafanya nini? Si aondoke tu jamani, binadamu tuwe na aibu jamani.

hatuna utamaduni wa kuwajibika
 
Back
Top Bottom