Wanahabari wetu hupata tabu kwenye suala la mahojiano kwa lugha ya Kiingereza, shida ni nini?

Hi everyone,

Kama umechunguza utagundua kuwa wanahabari wetu huwa katika kipindi kigumu sana linapokuja swala la kufanya mahojiano kwa hii lugha ya kigeni ya Kiingereza wengi wao hata wakiwa wanauliza maswali kwa muhusika ambaye hajui Kiswahili basi utakutana na broken nyingi sana kuna wengine hadi huogopa kuuliza maswali.

Shida ni nini hasa kwa hawa wanahabari wetu?
Shule
 
Back
Top Bottom