Le mutuz, Jerry Muro, Lipumba na Bashite wakipanda Nissan nyeupe utafute pa kujificha maana inaelekea wanafanya mazoezi zaidi ili Lisu akirejea wamalizie zoezi laoAlishasema yeye hapangiwi na mtu, halafu ukaulize swali?Ngoja amalize miaka yake ya kutawala maana leut col Bashite ndio mkuu wa utesaji na upotezwaji wa wakosoaji nchini.
Hapana.Labda wanamwona hana uwezo wa kujibu hayo maswali.
Nissan nyeupe imewatisha wengiWanamuogopa
Ungewasaidia kuuliza maswali, ingependeza Sana.Salam za weekend wakuu...
Jana katika uteuzi wa baraza la mawaziri kulitokea jambo lisilo la kawaida.
Mara baada ya rais kumaliza alitoa nafasi kwa waandishi waweze kumuuliza maswali yeye ama waziri mkuu au Makamu wa rais.
Lakini waandishi waliamua kukaa kimya.
Jambo hili sio la kawaida kabisa,hasa kwa hali ya mambo yalivyo maana kuna mambo mengi ya kuhitaji kupata ufafanuzi,iweje wao wakae kimya?
Wamechoka kufanya kazi? Maelekezo kutoka juu wasiulize chochote?
Ushauri,
Press nyingine zifanyike vyuoni kama pale udsm ili waweze kumuhoji vizuri.
wasalam..
Na bado, mmepayuka Sana wakati wa mzee wa msogaInasikitisha sana...
Watu wanamaswali mengi sana and they know that... Ila nani wakuuliza...
Cc: mahondaw
Mkuu sisi tunauliza nyuma ya keypad/board huku.Ungewasaidia kuuliza maswali, ingependeza Sana.
Au na wewe uliamua kumkaushia?
Waandishi majibubyake wanayajua tayari.Salam za weekend wakuu...
Jana katika uteuzi wa baraza la mawaziri kulitokea jambo lisilo la kawaida.
Mara baada ya rais kumaliza alitoa nafasi kwa waandishi waweze kumuuliza maswali yeye ama waziri mkuu au Makamu wa rais.
Lakini waandishi waliamua kukaa kimya.
Jambo hili sio la kawaida kabisa,hasa kwa hali ya mambo yalivyo maana kuna mambo mengi ya kuhitaji kupata ufafanuzi,iweje wao wakae kimya?
Wamechoka kufanya kazi? Maelekezo kutoka juu wasiulize chochote?
Ushauri,
Press nyingine zifanyike vyuoni kama pale udsm ili waweze kumuhoji vizuri.
wasalam..
Hapa hawakanyagi waendelee kupeana vyeo huko huko misituniSalam za weekend wakuu...
Jana katika uteuzi wa baraza la mawaziri kulitokea jambo lisilo la kawaida.
Mara baada ya rais kumaliza alitoa nafasi kwa waandishi waweze kumuuliza maswali yeye ama waziri mkuu au Makamu wa rais.
Lakini waandishi waliamua kukaa kimya.
Jambo hili sio la kawaida kabisa,hasa kwa hali ya mambo yalivyo maana kuna mambo mengi ya kuhitaji kupata ufafanuzi,iweje wao wakae kimya?
Wamechoka kufanya kazi? Maelekezo kutoka juu wasiulize chochote?
Ushauri,
Press nyingine zifanyike vyuoni kama pale udsm ili waweze kumuhoji vizuri.
wasalam..
Sometimes silence means understanding. (Ancestors)Salam za weekend wakuu...
Jana katika uteuzi wa baraza la mawaziri kulitokea jambo lisilo la kawaida.
Mara baada ya raiskumaliza alitoa nafasi kwa waandishi waweze kumuuliza maswali yeye ama waziri mkuu au Makamu wa rais.
Lakini waandishi waliamua kukaa kimya.
Jambo hili sio la kawaida kabisa,hasa kwa hali ya mambo yalivyo maana kuna mambo mengi ya kuhitaji kupata ufafanuzi,iweje wao wakae kimya?
Wamechoka kufanya kazi? Maelekezo kutoka juu wasiulize chochote?
Ushauri,
Press nyingine zifanyike vyuoni kama pale udsm ili waweze kumuhoji vizuri.
wasalam..
Umekaa kimbeya mbeya fyuuuuuuuSalam za weekend wakuu...
Jana katika uteuzi wa baraza la mawaziri kulitokea jambo lisilo la kawaida.
Mara baada ya rais kumaliza alitoa nafasi kwa waandishi waweze kumuuliza maswali yeye ama waziri mkuu au Makamu wa rais.
Lakini waandishi waliamua kukaa kimya.
Jambo hili sio la kawaida kabisa,hasa kwa hali ya mambo yalivyo maana kuna mambo mengi ya kuhitaji kupata ufafanuzi,iweje wao wakae kimya?
Wamechoka kufanya kazi? Maelekezo kutoka juu wasiulize chochote?
Ushauri,
Press nyingine zifanyike vyuoni kama pale udsm ili waweze kumuhoji vizuri.
wasalam..
Huyu si mtu wa kiulizwa maswali, majibu atakayotoa utajuta kumuuliza. Nawapongeza wanahabari kwa kumchunia.Ni bora kula ugali wako na watoto wako ukiigiza bubu
kuliko kujifanya una kipaji cha kuuliza halafu uache watoto yatima
Nakupotezwa kama Ben saananeNi bora kula ugali wako na watoto wako ukiigiza bubu
kuliko kujifanya una kipaji cha kuuliza halafu uache watoto yatima
Ila sungusungu ungeuliza swaliAisee!!