mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,570
- 6,433
Kabisa, maana inawezekana hekima ya kuyajibu ndo finyu mwisho wa siku ataishia matusi na kejeli .Labda wanamwona hana uwezo wa kujibu hayo maswali.
Kabisa, maana inawezekana hekima ya kuyajibu ndo finyu mwisho wa siku ataishia matusi na kejeli .Labda wanamwona hana uwezo wa kujibu hayo maswali.
Bora wakae kimya kuliko kuuliza maswali ya ki-ccmUkweli mchungu huo. Alternatively, uulize swali la kumpa Kiki au ujiko
HahahaMayala maana yake njaa... Nadhani bado wana hiyo kumbukumbu
Hii ndio point ya msingi. Kama Muro alivyotapika mbege jana.Labda wanamwona hana uwezo wa kujibu hayo maswali.

Mtoto Umuleavyo Ndivyo akuavyo. Kobe ..........! SheriaKabisa, maana inawezekana hekima ya kuyajibu ndo finyu mwisho wa siku ataishia matusi na kejeli .
Oh wow...kumbe keshasema??
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

hadithi ya vita ya uchumo ingesimuliwa upya.sio kweli huwez kuwa simba polini Mara paaah. Swala pemben yako kisha unavunga joh.ulimi wako utakuponza enzi ya sasa ndo maana walipiga kimwaHawajamkaushia walikua hawana Cha kumuuliza.
Lkn walipewa hiyo fursa(km ulikua unafatilia) lkn hakuna aliyjitokeza ili aulize maswali.Na mbona kipindi fulani yy mwenyewe JPM aliwalika wamulize maswali na wakafanya hivyo?Hii ya sasa ilikua na tofauti gani?sio kweli huwez kuwa simba polini Mara paaah. Swala pemben yako kisha unavunga joh.ulimi wako utakuponza enzi ya sasa ndo maana walipiga kimwa
Kwa sasa kila Sikh inabadilika Uhuru wa kuongea sasa basi.Lkn walipewa hiyo fursa(km ulikua unafatilia) lkn hakuna aliyjitokeza ili aulize maswali.Na mbona kipindi fulani yy mwenyewe JPM aliwalika wamulize maswali na wakafanya hivyo?Hii ya sasa ilikua na tofauti gani?
Uwezo wa waandishi wa habari ni questionableLkn walipewa hiyo fursa(km ulikua unafatilia) lkn hakuna aliyjitokeza ili aulize maswali.Na mbona kipindi fulani yy mwenyewe JPM aliwalika wamulize maswali na wakafanya hivyo?Hii ya sasa ilikua na tofauti gani?
funza Mange kasemaje?
Kama shoza aliyetoa Rushwa isiyojulikanaUliza uende kusikojulikana.