Wanahabari wamkaushia Rais.

Wanahabari wamkaushia Rais.

Alishasema yeye hapangiwi na mtu, halafu ukaulize swali?Ngoja amalize miaka yake ya kutawala maana leut col Bashite ndio mkuu wa utesaji na upotezwaji wa wakosoaji nchini.
Le mutuz, Jerry Muro, Lipumba na Bashite wakipanda Nissan nyeupe utafute pa kujificha maana inaelekea wanafanya mazoezi zaidi ili Lisu akirejea wamalizie zoezi lao
 
Mazingira ya kazi ya uandishi wa habari kwa awamu hii magumu kuliko awamu iliyopita.
 
Salam za weekend wakuu...
Jana katika uteuzi wa baraza la mawaziri kulitokea jambo lisilo la kawaida.
Mara baada ya rais kumaliza alitoa nafasi kwa waandishi waweze kumuuliza maswali yeye ama waziri mkuu au Makamu wa rais.
Lakini waandishi waliamua kukaa kimya.
Jambo hili sio la kawaida kabisa,hasa kwa hali ya mambo yalivyo maana kuna mambo mengi ya kuhitaji kupata ufafanuzi,iweje wao wakae kimya?
Wamechoka kufanya kazi? Maelekezo kutoka juu wasiulize chochote?
Ushauri,
Press nyingine zifanyike vyuoni kama pale udsm ili waweze kumuhoji vizuri.
wasalam..
Ungewasaidia kuuliza maswali, ingependeza Sana.
Au na wewe uliamua kumkaushia?
 
Salam za weekend wakuu...
Jana katika uteuzi wa baraza la mawaziri kulitokea jambo lisilo la kawaida.
Mara baada ya rais kumaliza alitoa nafasi kwa waandishi waweze kumuuliza maswali yeye ama waziri mkuu au Makamu wa rais.
Lakini waandishi waliamua kukaa kimya.
Jambo hili sio la kawaida kabisa,hasa kwa hali ya mambo yalivyo maana kuna mambo mengi ya kuhitaji kupata ufafanuzi,iweje wao wakae kimya?
Wamechoka kufanya kazi? Maelekezo kutoka juu wasiulize chochote?
Ushauri,
Press nyingine zifanyike vyuoni kama pale udsm ili waweze kumuhoji vizuri.
wasalam..
Waandishi majibubyake wanayajua tayari.

Swali: Uliahidi baraza la mawaziri dogo zaidi, sasa mbona unaliongeza?

Jibu: Usinipangie. Mimi ni rais ninayejiamini. Sipangiwi. Fomu nilienda kuchukuwa mwenyewe.
 
Salam za weekend wakuu...
Jana katika uteuzi wa baraza la mawaziri kulitokea jambo lisilo la kawaida.
Mara baada ya rais kumaliza alitoa nafasi kwa waandishi waweze kumuuliza maswali yeye ama waziri mkuu au Makamu wa rais.
Lakini waandishi waliamua kukaa kimya.
Jambo hili sio la kawaida kabisa,hasa kwa hali ya mambo yalivyo maana kuna mambo mengi ya kuhitaji kupata ufafanuzi,iweje wao wakae kimya?
Wamechoka kufanya kazi? Maelekezo kutoka juu wasiulize chochote?
Ushauri,
Press nyingine zifanyike vyuoni kama pale udsm ili waweze kumuhoji vizuri.
wasalam..
Hapa hawakanyagi waendelee kupeana vyeo huko huko misituni
 
Waandishi walijiona kama wapo central pale kumbe wapo ikulu.
Walivyotoka wali shukuruje?
 
Salam za weekend wakuu...
Jana katika uteuzi wa baraza la mawaziri kulitokea jambo lisilo la kawaida.
Mara baada ya raiskumaliza alitoa nafasi kwa waandishi waweze kumuuliza maswali yeye ama waziri mkuu au Makamu wa rais.
Lakini waandishi waliamua kukaa kimya.
Jambo hili sio la kawaida kabisa,hasa kwa hali ya mambo yalivyo maana kuna mambo mengi ya kuhitaji kupata ufafanuzi,iweje wao wakae kimya?
Wamechoka kufanya kazi? Maelekezo kutoka juu wasiulize chochote?
Ushauri,
Press nyingine zifanyike vyuoni kama pale udsm ili waweze kumuhoji vizuri.
wasalam..
Sometimes silence means understanding. (Ancestors)
 
Salam za weekend wakuu...
Jana katika uteuzi wa baraza la mawaziri kulitokea jambo lisilo la kawaida.
Mara baada ya rais kumaliza alitoa nafasi kwa waandishi waweze kumuuliza maswali yeye ama waziri mkuu au Makamu wa rais.
Lakini waandishi waliamua kukaa kimya.
Jambo hili sio la kawaida kabisa,hasa kwa hali ya mambo yalivyo maana kuna mambo mengi ya kuhitaji kupata ufafanuzi,iweje wao wakae kimya?
Wamechoka kufanya kazi? Maelekezo kutoka juu wasiulize chochote?
Ushauri,
Press nyingine zifanyike vyuoni kama pale udsm ili waweze kumuhoji vizuri.
wasalam..
Umekaa kimbeya mbeya fyuuuuuuu
 
Ni bora kula ugali wako na watoto wako ukiigiza bubu
kuliko kujifanya una kipaji cha kuuliza halafu uache watoto yatima
Huyu si mtu wa kiulizwa maswali, majibu atakayotoa utajuta kumuuliza. Nawapongeza wanahabari kwa kumchunia.
 
unaulizaje swali kwa klaz..
hahahaa !
mzee wa sukari kilo buku tano..
 
Back
Top Bottom