Wanagawana roho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanagawana roho

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Raia Fulani, Apr 26, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Hapo Tanga pana makaburi ya misheni yaliyozungushiwa uzio. Nje ya uzio pana mlinzi mzee hivi anayelinda misalaba na mashada. Jirani yake pana shamba la misheni pia la minazi. Vibaka wa2 walifika hapo mida mibaya kuiba nazi. Walipoangua za kutosha wakaziweka juu ya turubai na kuanza kuziburuta kuelekea makaburini kugawana. Nazi 2 zilianguka pale getini ila hawakuzichukua. Bahati yao mlinzi alikuwa anakoroma. Hawakwenda mbali na getini wakaanza, 'hii yangu hii yako...' muda si mrefu mlinzi akagutuka akawa anasikia, 'hii yangu hii yako...' hakuelewa somo hivyo akatoka nduki hadi kwa mchungaji anayeishi mita 150 tu toka pale. Akamweleza hali halisi. Naye mchungaji kwa mawenge ya usingizi akamwambia, bila shaka Mungu na shetani wanagawana roho. Twende!

  Walipofika kila mmoja akakaa upande wake wa geti wakawa wanasikiliza. Vibaka walipomaliza, mmoja akamwambia mwenzie, 'kuna zile 2 pale getini. Moja yangu moja yako.' sikujua kilichoendelea
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hahahaaa, bila shaka wangeshiriki marathon wangeshinda kwa kilichotokea.
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  ila niliambiwa kuwa mchungaji alifleti pale pale! Bahati nzuri hakufa
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ahahaha imetulia
   
 5. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Nadhan hapo wangekuwa na mbio zaid ya usain bolt.
   
 6. K

  KILOTI Member

  #6
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aah teeh teh! Nahisi mchungaji na mlinzi walichomoka mbio balaa
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Nasikia kifo kina mbio zaidi ya mwanga
   
 8. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  He he he, hii kali ndugu
   
 9. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hii kali sana
   
 10. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  lazima mchungaji alivunja mguu.
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Hahaaaa,hakuna mtu alibakia salama pale,mabio ya kufa mtu.
   
 12. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,641
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  This is deadly...nimecheka sana...hahahahahaha....mbio walizozipata nadhan visigino vilikuwa zinagonga visogoni...
   
Loading...