Wanafurahishwa na kitu gani?

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,663

Pichani: Rais Kikwete na Dikteta Gabgo wa Ivory coast.

Yaani hadi waandishi wa habari wameduwaa.
 
Gabgo anafahamu msemo huu ( ukitaka kujua umuhimu wa ****** siku moja kalia kichwa) ndio maana anampokea huyu muungwa kwa furaha kubwa. Ambae mpaka leo hatujui aliongea nini na Kibaki hali ikawa shwali Nchini Kenya.
 
Gagbo aliuliza JK " wewe umepitaje mbona hujanaswana kwako pametulia......maana nimejaribu ya kwako imezua kizaa zaa ndo maana naongozea kwenye hotel.... JK akajibu usimuige tembo kunya maana yeye ni ndoo moja au mbili....wote wakacheka....Uchakachuaji nao mmmhh
 
anamtania Gb,huna lolote ulishindwa nn twende huku nikakufundishe.teh teeeh
 
JK hata angepata nafasi ya kukutana na Idi Amin andemkumbatia na kuchekacheka
 
I guess the conversation went on this; bwana wewe kweli kichwa kama mimi, I didn't think there could be any african close to my level 🙂
 
Huyo mwandishi aliyefanana na Obama anawashangaa hawa nyani wawili..haamini wanavyotabasamu wakati raia wanauawa mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…