Wanafunzi wote waliosoma Sengerema Sekondari

Nov 27, 2013
7
2
Napenda kujitokeza kama mwanafunzi niliyesoma Sengerema Sekondari(O&A)level. Naitwa Changanya Bulimbo, nilisoma hapo 1985-1988 O' level.

Baadhi tumeanzisha umoja ambao makao makuu yapo Dar es Salaam. Tunataka kufanya harambee mwaka huu kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya maji taka na maji safi ya shule ya Sengerema sekondari. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa kutumia mawasiliano ya yafuatayo:

whatsapp: 0621082804 au 0755223355 au 0655203345 au 0685316900
email: abulimbo@gmail.com
 
Back
Top Bottom