Kwa haya maelekezo ya TCU waliyotoa wiki hii wanasema ukiwa na Diploma kuingia bachela lazima uwe na GPA 3.5Kwani wale wa Diploma walipaswa wawe na nini? Yaani walipaswa wawe na GPA ngapi????
Hebu kwenda huko! Kanisa liko makini kuliko hiyo sirikali yako
Ngoja tuone hii movie inakokwenda bado ipo mwanzoni steringi ndo anazaliwa......
Mkuu tofautisha elimu na uadilifu. Hivi ni vitu viwili tofauti.@ntalukeKuna kitu hapa mimi sikielewi au nikielewa tofauti,mtu anasema heshima ya elimu inarudi,maana waliotuharibia nchi ndio hawahawa tunaosema walisoma enzi elimu ikiwa na heshima,asilimiakubwa yawanaoitwa MAJIPU ni hawa waliosoma kipindi kinachoitwa elimu ilipokuwa na heshima...Wengi wao ni maprofesa na madoctor..na ndio haohao waliozalisha wasomi wanaoitwa Vila..za au Hewa!!!
kweli aisee, watuache na E zetu flatmbwembwe izo yangu macho na point zangu mbili sifa e 2 mengne cjuiii
Lakin mkuu si hata wanahusika nakudahili niwale waliosoma zaman yaan wengi wao ni PHD,na ProfesaMkuu tofautisha elimu na uadilifu. Hivi ni vitu viwili tofauti.@ntaluke
JESCA akiachwa itakua zoezi la watoto wa kimaskiniHili halihitaji siasa za maji taka muhimu ufanyike uchunguzi wa kina na si kuoneana na kupendeleana
hahahaha we jamaaa muhurumie mwenzio , si vizuri hivyo Mungu hapendiNdio tatizo la kuwa mtumwa wa Imani, hata uwezo wa kufikiri unapungua.!
teh teh teh teh ukiulizwa na wanao hiyo picha inawakilisha nini utawajibuje? heheheheheheehHehehe kuna hatari ya kufuta magamba ya watu hapa, anyway mtabaki na picha za graduation kama kumbukumbu
Asiachwe kama hana sifa astahmili tu ndo haki itakuwa imetendekaJESCA akiachwa itakua zoezi la watoto wa kimaskini
sera ya Tz ni kuzuia watoto wasipate elimu mana wana hofia watakuja kuwa cost mbeleni wanacho kifanya ni kuwafanya wawe ma mbumbu