Wanafunzi wote walio Vyuo Vikuu wasio na sifa kuondolewa. Vyuo kurudisha fedha za wanafunzi hewa

"...Mama yangu, ngoja niingie watajuta haki ya Mungu..." John Pombe Magufuli, Jangwani grounds August 2015
 
Inawezekana hata viongozi wa CCM vyuo vikuu na wao wakawa wamo kwenye mkumbo huu. Nasikia raha kwa moyo.
 
Serikali inahitaji ipate ufumbuzi yakinifu wa haya mambo kuwafukuza wanafunzi wasio na vigezo na wakati wapi miaka kadhaa mbele sio haki Bali serikali ilipaswa kusimamia na kuwawajibisha vikali waliodahili wanafunzi Hao yaana TCU NACTE Na Chuo chenyewe.kumfukuza mwanafunzi ni kuongeza umaskini hiyo miaka aliyopoteza angejua cha kufanya.Pili Kuna vyuo ambavyo ni kawaida kwa kudahili wanafunzi wasiona sifa na bado vinaendelea tuu kufananya kazi mimi nkna Wasiwasi na Chuo Kama KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY isije ikawa vyuo visivyo na wasimamizi wakubwa ndio vinachukuliwa hatua tuu tuangalie hapo.
 
Big up mama, mi mwenyewe namfahamu kiongozi alimaliza form iv,then certificate the degree without diploma or form six, now ni afisa tawala ktk halmashauri moja ya tabora, na huyu pia ni hewa
 
Kuna kitu hapa mimi sikielewi au nikielewa tofauti,mtu anasema heshima ya elimu inarudi,maana waliotuharibia nchi ndio hawahawa tunaosema walisoma enzi elimu ikiwa na heshima,asilimiakubwa yawanaoitwa MAJIPU ni hawa waliosoma kipindi kinachoitwa elimu ilipokuwa na heshima...Wengi wao ni maprofesa na madoctor..na ndio haohao waliozalisha wasomi wanaoitwa Vila..za au Hewa!!!
Mkuu tofautisha elimu na uadilifu. Hivi ni vitu viwili tofauti.@ntaluke
 
Hata wenye vyeti halali wasailiwe upya kuthibitisha uwezo wao.Maana hakuna tofauti kwa aliyenunua ufaulu chuoni na aliyeghushi cheti mtaani.
 
sera ya Tz ni kuzuia watoto wasipate elimu mana wana hofia watakuja kuwa cost mbeleni wanacho kifanya ni kuwafanya wawe ma mbumbu


Wewe itakuwa ni mhusika wa vyeti hewa. It seems nyinyi ndo mnapenda mkato kula bila jasho.

Kwani hao ambao wako mtaani hawana kazi wanaishije? Acheni kutisha watu. Kama una cheti hewa na ufukzwe chuo. Hakuna namna. Tumechoka....huu ujanja ujanja ndo umetufikisha hapa.
 
Back
Top Bottom