Wanafunzi wenzake Norah waamsha vilio msibani

Wanafunzi wenzake Norah waamsha vilio msibani

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,247
Reaction score
25,191
wanafunzi+picha.jpg

Baba na mama wa marehemu

Dar es Salaam. Vilio na simanzi vimetawala kwenye msiba wa mtoto Norah Marealle baada ya kuwasili kwa wanafunzi wenzake wa Shule ya Atlas ya Ubungo jijini Dar es Salaam.

Wanafunzi hao waliwasili saa tano nyumbani kwa kina Norah eneo la Sinza Mori.

Nora ambaye amefariki dunia jumapili iliyopita huku kukiwa na madai kwamba alibakwa na kisha kunyongwa kabla la kufa, anazikwa leo baadaye katika makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam.


Chanzo: Mwananchi
 
Wauaji wamefanya dhambi kubwa! Hivi hao nao wakitubu Mungu anaweza kuwasamehe!!!!
 
Yaani huyo kumbafu kabaka kakaba kazini kaua inauma sana
 
Wanaadamu sasa hivi hawana huruma, hawana utu, woga wala haya/aibu, mijitu imekaa kama sijui nini vile yaani, ukweli sasa hivi hakuna cha mjomba, baba mdogo wala baba mzazi yote hayo tusiyaamini kwa watoto wa kike,
Allah ampe makazi mema mtoto aamiyn.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom