Wanafunzi Wanyonyana Sehemu za Siri Darasani

Jul 10, 2009
31
0
Wanafunzi Wanyonyana Sehemu za Siri Darasani</SPAN>
Source:www.nifahamishe.com

Wednesday, December 23, 2009 12:17 AM
Wanafunzi wawili wa shule moja ya msingi ya nchini Marekani wamesimamishwa masomo kwa kipindi kisichojulikana baada ya kunyonyana sehemu za siri darasani mbele ya wanafunzi wenzao huku mwalimu ambaye alikuwa darasani wakati huo akishuhudia naye amenyang’anywa leseni yake ya ualimu.
Wanafunzi hao wa darasa la nane katika shule moja ya msingi katika mji wa Houston, Texas nchini Marekani wamesimamishwa shule kwa kipindi kisichojulikana baada ya kupatikana na hatia ya kufanya kitendo nje ya maadili ya kishule.

Wanafunzi hao walinyonyana sehemu za siri mbele ya kundi la wanafunzi wenzao huku mwalimu mmoja akiwa ndani ya darasa hilo hilo akiendelea kuwaelekeza masomo wanafunzi wengine.

Taarifa zilizotolewa zilisema kwamba baadhi ya wanafunzi walitengeneza duara kumziba mwalimu wao asione kinachoendelea wakati wanafunzi hao wa shule ya msingi wakinyonyana sehemu za siri huku wanafunzi wengi wakishuhudia kitendo hicho.

Baada ya tukio hilo, mmoja wa wanafunzi alipeleka taarifa kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo ambaye alipeleka taarifa polisi.

Wanafunzi hao walikamatwa na kuwekwa mahabusu katika jela za watoto na walifunguliwa mashtaka mahakamani ya kuharibu utulivu darasani na kufanya kitendo kinyume na maadili mbele ya watu.

Wanafunzi hao ambao majina yao hayakutajwa kutokana na sababu za kisheria, walikiri makosa yao katika mahakama ya watoto ya Houston.

Mwanafunzi wa kike alikabidhiwa kwa wazazi wake wakati uchunguzi wa suala hilo ukiendelea huku mwanafunzi wa kiume akiendelea kushikiliwa na polisi.

Mwalimu aliyekuwa darasani wakati huo ambaye alishindwa kuzuia wanafunzi hao wasiendelee kufanya kitendo hicho, amenyang’anywa leseni yake ya ualimu
 
I thought it is in tanzania kumbe marekani, haishangazi sana kwani early this year UK mtoto wa miaka 12 alifikiliwa amempa mimba mwenzie wa miaka 13, so ni kitu cha kawaisa
 
Nadhani hii inatokana na madawa ya kulevya! katika hali ya kawaida kufanya mambo hayo mbele ya watu ni lazima uwe na asilimia fulani ya uhayawani ambao katika hali ya kawaida ni lazima utokane na nguvu ambazo akili ya kawaida haiwezi kudhibiti. Kitu kama hiki hakiwezi kuitwa cha kawaida kwa hali zake zote, fikiria kwamba hata kama ingekuwa kwa watu wazima ingekuwa ni tatizo sembuse watoto.
 
I thought it is in tanzania kumbe marekani, haishangazi sana kwani early this year UK mtoto wa miaka 12 alifikiliwa amempa mimba mwenzie wa miaka 13, so ni kitu cha kawaisa


Just wait for few days, months or years, you will hear such dirty things happened in our soil
 
Back
Top Bottom