Kichwa Kontena
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 661
- 565
hua wanakopa kwa waliopata mapema yawezekana jamaa washamchoka hua harudish hela ss anaomba hela kijanjaWengi wao hutumia boom kulipia ada
hua wanakopa kwa waliopata mapema yawezekana jamaa washamchoka hua harudish hela ss anaomba hela kijanjaWengi wao hutumia boom kulipia ada
wewe ndo haijakusaidia,hoja yake ni thabiti pesa haitoki kama maji ya bomba ina taratibu za kiutendajiFikiria Mara mbili kabla ya kuandika tena. Inaelekea elimu yako haijakusaidia.
kweli bro wangejua hata wasingesema maana mpaka sasa ma loan officers wanahangaika kwa ajili yaoww ndo hujafikiria mkuu huon unachofanya,siku mbili unalalamika kweli hata kama serikali ina speed ya ndege za kivita sio kwa stail hiyo unayotaka.
usishangae sana Mkuu hilo ni zao la distinknseni za sekondari, ni balaa mkuu wapo wengi sana hadi humu janvini wamo,tena nao wanajiita ni maGT, yaan ni shidaaahAsingeandika masuala ya MCC ningemuona wa maana. Kumbe hata vyuoni kuna nyumbu wametapakaa huko?
hawana nidhamu ya pesa hao mkuu, pia ulimbukeni umewajaa kuanzia unyayoni hadi utosini.Boom lenyewe wakipewa wanalimaliza siku moja tu maana wengine watMtafutA salama au eggy
Ukipita bar za calabash wamejaa tu wanatumbuaaa
Kweli kabisa!wakishaingiziwa hela tu....ni balaaahawana nidhamu ya pesa hao mkuu, pia ulimbukeni umewajaa kuanzia unyayoni hadi utosini.
Duuh na wewe upo chuo kweli eeh?SAUT-mtwara tushasign tangu j5, mleta uzi acha siasa, hela za mcc ni za umeme tena bajeti ijayo, pia tambua kuwa hyo hela ya mcc ambazo n tr1.02 huwez fananisha na mapato yetu kwa mwezi ambayo n wastani wa tr1.4. tuache siasa TANZANIA ni yetu.
Kura ni siri yake mkuu tena ukute hakupiga kabisaKula ulimpigia nani Boss, tuanzie hapo kwanza..
Wengi wao watoto wa mama msoga be careAhaa! ndio maana malaya wakita wamepoa wala hawana shobo, kumbe bado hawaja daka mkwanja , basi Ngoja tujipigie.
mura amang'ana nibhwi sio kula ni kura mura sawaKula ulimpigia nani Boss, tuanzie hapo kwanza..
Ndugu wengine tumefungua tangu tar 22 mzigo bado.Vyuo vimefunguliwa j4 leo unalalamika boom si ungebaki nyumbani sasa
duuu mkuu pole aiseeNdugu wengine tumefungua tangu tar 22 mzigo bado.
Duuuuuuu vyuo vingine inahitaj moyo kwenda kuchimba degree yakoSAUT-mtwara tushasign tangu j5, mleta uzi acha siasa, hela za mcc ni za umeme tena bajeti ijayo, pia tambua kuwa hyo hela ya mcc ambazo n tr1.02 huwez fananisha na mapato yetu kwa mwezi ambayo n wastani wa tr1.4. tuache siasa TANZANIA ni yetu.
Za USO hizo, akipata familia atakuwa anawata hela ya den alishe familiaunapotoka kwenu jifunze kuja na pesa kiasi sio kulia lia hapa unafikili serikali inafikiria wanafunz tu?kuna mambo mengi kuwa mvumilivu!!
Mbona hela ikitoka huwa hamrud kushukuruFikiria Mara mbili kabla ya kuandika tena. Inaelekea elimu yako haijakusaidia.