MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 5,286
- 10,909
Si mshaambiwa kuwa ni form four?Inauma sana, watoto waliokwama Dodoma kufuatia kufukuzwa kutoka UDOM waanza uombaomba katika maeneo ya mji viunga vyake hususani Ng'ong'ona, Makulu na maeneo ya Jamatini pamoja na stand ya mabasi.
Pia kwa wale waliojistri kwa jamaa zao wenye magheto pande za makulu na Ng'ong'ona hali si shwari kwani wamelazimika kulala watu zaidi ya wanne kwenye chumba kimoja. Kutoka ghetto moja nililotembelea kujionea hali nimekuta jamaa mwenye ana mke wake wanaishi pamoja lakini kwa kuwahurumia ndugu zake kutoka huko kwao Kigoma kaamua kulala nao pamoja na mkewe kwenye chumba kimoja yaani single room.
Hali ya chakula si rahisi kujua lakini itakuwa mbaya sana bila shaka ikizingatiwa mwenyeji wao ni mwanafunzi pale COED.
Jambo lingine la kusikitisha kuna mabinti waliobeba mimba wakiwa chuoni bila kuwapa taarifa wazazi wao, leo wamebaki wanalia tu katika nyumba walizopanga kwani wanaogopa kurejea makwao wakiwa na mimba au watoto kabisa.
Hiyo nidharau waliwapokea wa niniSi mshaambiwa kuwa ni form four?
What the Fu.... Please Mr JPM have mercy........ Hao Madogo unawahumiliate Kavukavu Yani Tz Nuksi Kinoma...Inauma sana, watoto waliokwama Dodoma kufuatia kufukuzwa kutoka UDOM waanza uombaomba katika maeneo ya mji viunga vyake hususani Ng'ong'ona, Makulu na maeneo ya Jamatini pamoja na stand ya mabasi.
Pia kwa wale waliojistri kwa jamaa zao wenye magheto pande za makulu na Ng'ong'ona hali si shwari kwani wamelazimika kulala watu zaidi ya wanne kwenye chumba kimoja. Kutoka ghetto moja nililotembelea kujionea hali nimekuta jamaa mwenye ana mke wake wanaishi pamoja lakini kwa kuwahurumia ndugu zake kutoka huko kwao Kigoma kaamua kulala nao pamoja na mkewe kwenye chumba kimoja yaani single room.
Hali ya chakula si rahisi kujua lakini itakuwa mbaya sana bila shaka ikizingatiwa mwenyeji wao ni mwanafunzi pale COED.
Jambo lingine la kusikitisha kuna mabinti waliobeba mimba wakiwa chuoni bila kuwapa taarifa wazazi wao, leo wamebaki wanalia tu katika nyumba walizopanga kwani wanaogopa kurejea makwao wakiwa na mimba au watoto kabisa.
Kumbuka huu ni mwisho wa nusu ya semester hivyo boom lilishakata siku nyingi sana mkuuWataombaje wanapewa mkopo hapo mi sielew

Ni kama wanaukomoa utawala uliopita . Refer issue ya GPAHiyo nidharau waliwapokea wa nini
Yaan kwa mateso hayo wanayoyapata akitokea hata mtu akawashawishi kuingia kikundi cha kigaid wanaenda... kwelInauma sana, watoto waliokwama Dodoma kufuatia kufukuzwa kutoka UDOM waanza uombaomba katika maeneo ya mji viunga vyake hususani Ng'ong'ona, Makulu na maeneo ya Jamatini pamoja na stand ya mabasi.
Pia kwa wale waliojistri kwa jamaa zao wenye magheto pande za makulu na Ng'ong'ona hali si shwari kwani wamelazimika kulala watu zaidi ya wanne kwenye chumba kimoja. Kutoka ghetto moja nililotembelea kujionea hali nimekuta jamaa mwenye ana mke wake wanaishi pamoja lakini kwa kuwahurumia ndugu zake kutoka huko kwao Kigoma kaamua kulala nao pamoja na mkewe kwenye chumba kimoja yaani single room.
Hali ya chakula si rahisi kujua lakini itakuwa mbaya sana bila shaka ikizingatiwa mwenyeji wao ni mwanafunzi pale COED.
Jambo lingine la kusikitisha kuna mabinti waliobeba mimba wakiwa chuoni bila kuwapa taarifa wazazi wao, leo wamebaki wanalia tu katika nyumba walizopanga kwani wanaogopa kurejea makwao wakiwa na mimba au watoto kabisa.
Haraka sana wanaenda kwani toka waone ile notes wengi walisikika wakilia na kusema ikitokea mtu kama huyo anawahitaji wanaemda fasta sana.Yaan kwa mateso hayo wanayoyapata akitokea hata mtu akawashawishi kuingia kikundi cha kigaid wanaenda... kwel