Wanafunzi waislamu watangaza maandamano!


Hivi hawa jamaa kipaumbele chao kwenye elimu si 'elimu ahela'? Huko wanafuata nini? Nina wasiwasi hata uwezo wao kimasomo ni mdogo sana!!
 
Sasa najaribu kutafakuli Lkn nashindwa hawa jamaa wanamatatizogani?
 
maandamano ni lini lakin msije muita yule jamaa wa pale magogoni na yeye anatumia mfumo kristu..
 
Kwa kweli huu uonevu haukubariki kabisa nawombeni wanafunzi waislamu kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu tususie kabisa masomo mpaka hapo madai yetu yatakapofanyiwa kazi na kwa kuwaonyeshea hawa wakristo mitihani iliyokaribia ya fm 4 na 6 waislam hatuifanyi mpaka kieleweke.Takbiriiiiiiiiiii
 
Unadhani msipofanya mitihani watakaopata hasara ni nani?
 

Usichokijua ni kuwa hakuna mkristo ambae yupo obsessed na dini ya mtu mwingine. Ulichoandika hapa ni hisia zenu mlizozitunga wenyewe na mkaamua kuziamini. Kungekuwa na ukweli japo kidogo ingekuwa rahisi kuchukua hatua za kisheria, lakini kwa kuwa ni uzushi mtupu mnalalamika tuuu!
 
Hadithi yako ni ndefu sana lakini haina kichwa wala miguu, ni bora ungetumia muda huo kulima pengine ungevuna chochote, aliki zako ni kama za mtoto mchanga, mbona kuna shule ya kiislamu ha haramaini hapo shauri moyo, ambayo ni ya mwisho kabisa kwa kuwa na vilaza wengi kama wewe? kama mnanyanyaswa, si mfungue nyingine nyingi ili mpate kutonyanyaswa.
 
hellow wna jamii forum,mimi ni new comer kama form one vile kwa hivyo naomba otientation,please.
 

Wapelekwe France huko hijabu ruksa🙄
 
shule haiwezi kujenga msikiti wala kanisa wajameni,eeeh!:shock:
 
kwa mtindo huu hakuna haja kuwa na uniform shule kila mtu avae kulingana na imani ya kidini.haiwezekani kunyimwa kuvaa kanzu kusababisha waislamu kufeli .ingekuwa waislamu nchini nigeria wamefanyiwa vile dunia ingesheki kwa miungurumo yao.siku ikifika hata kobe watasema kwa kitu wanachofanya hawa wenzetu.hv kwenye kuandikishwa shule huwa wanasema tunataka idadi kadhaa wa kikristo na kiislamu wakati wenzenu wanasomesha watoto nyie mnawaoza. kaandamaneni kwa amani na huko bado yesu atashinda tu kwa mwenendo huo
 
hata mimi niliipata hiyo toka kwa mwanafunzi wa UDOM kumbe kweli,dah nasikia uislam huko Udom noma.
 
Duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?
 
hongera TAMSYA kwa maamuzi muliyochukua. mafanikio yatapatikana inshaallah. Ingawa mna maadui wengi katika hili ndani ya JF msijali songeni mbele. Lakini sishangai JF wengi wao ni chadema na chadema = kanisa.
 
Here we go again. The Wailers at work. Nyie gomeni tu, andamaneni tu lakini kumbuka mtihani wa kidato cha sita na kwa vyuo vikuu "semisteral exams" are @ hand.

Zungukeni na pepa likija mfeli hafu msingizie "mfumo KRISTO"

Umefanya vizuri kuwakumbusha,maake hawa jamaa kutwa kumtafuta mchawi wa ujinga wao kumbe wao wenyewe ndio chanzo,......jamaa wavivu wa kufikiri utadhani wamelogwa
 
hellow wna jamii forum,mimi ni new comer kama form one vile kwa hivyo naomba otientation,please.

Pumbafuuuuuuuuu,.......acha kuvamia mambo ya wakubwa dogo.
 
Waislam mnatia huruma eti hawataki B+ zina alama ya msalaba hahahahahahahaaaaaaaaaaaa
 
Kuna shule inaitwa Bondeni Secondary ipo Arusha mjini, ktk shule hii wototo wakristo wa kike wanalazimishwa kuvaa hijab ila hawana mpango wa kupinga mfumo wa kiislam kwa sababu wanajua wamefata elimu shuleni hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…