Wanafunzi wahofia kukosa mitihani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wahofia kukosa mitihani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kilimasera, Jan 30, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  WANAFUNZI wa kidato cha sita, katika Shule ya Sekondari, Tosamaganga, mkoani Iringa, wamekubwa na hofu ya kushindwa kufanya mtihani wao baada ya shule hiyo, kukosa Sh13 milioni, kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya maabara na kemikali.

  Wakizungumza na Mwananchi, wanafunzi hao wanaosoma masomo ya sayansi, walisema bila vifaa hivyo, haitakuiwa rahisi kwao kufanya mtihani huo, unaotarajiwa kuanza Februari 7 mwaka huu.

  Waliiomba serikali kuwasaidia kama kweli ianatilia mkazo masomo ya sayansi ambayo wanafunzi wengi wamekuwa wakishindwa, kwa sababu ya kukosekana kwa vifaa vya maabara.

  source Wanafunzi wahofia kukosa mitihani
   
Loading...