Inno Kimaro
Member
- Apr 12, 2013
- 46
- 11
wanafundisja yeboyebo au wanafunzi?
yeboyebo zimfukuze mwanafunzi shule kwa muda usiojulikana....!?hata sikubali,kwani walifanya makusudi au walipenda kutokuwa na viatu?wahusika fuatilieni watoto warudi shuleView attachment 322553
Wanafunzi wapatao 21 wanaosoma Shule ya Msingi Kilambo cha Mkolechi, Kata ya Kala mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi, wamefukuzwa shule kwa muda usiojulikana kwa kuvaa viatu maarufu yeboyebo.
TUKUMBUKE; Hawakupenda kuzaliwa kwenye familia masikini, hawakuchagua baba wala mama masikini! Wengi wetu tumetoka huko huko. Mkuu wa Mkoa wa Sumbawanga na Ofisa Elimu wa Mkoa hebu watendeeni haki watoto hawa!
Source😡Julius Mtatiro Fb Account
Walitakiwa wavae nini? Siku hizi kila mwenye uwezo anafukuza ili aonekane anafanya kazi.View attachment 322553
Wanafunzi wapatao 21 wanaosoma Shule ya Msingi Kilambo cha Mkolechi, Kata ya Kala mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi, wamefukuzwa shule kwa muda usiojulikana kwa kuvaa viatu maarufu yeboyebo.
TUKUMBUKE; Hawakupenda kuzaliwa kwenye familia masikini, hawakuchagua baba wala mama masikini! Wengi wetu tumetoka huko huko. Mkuu wa Mkoa wa Sumbawanga na Ofisa Elimu wa Mkoa hebu watendeeni haki watoto hawa!
Source😡Julius Mtatiro Fb Account
Wanaangalia yeboyebo kabla hawajaangalia wanavyokaa.chini kwa kuwa hawana madawati?Hakuna michango mtoto ukimnunulia viatu ni miaka miwili na pia inadumisha utamaduni mzuri wa personality hili sio tatizo wadau.mwisho mtasema mtoto akikosa uniform asome tu hivyo hivyo.