Wanafunzi Waafrika washambuliwa India

Wanafunzi Waafrika washambuliwa India

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Hii video inaonyesha wanafunzi kutoka Afrika wakishambuliwa huko new delhi. Walitaka ulinzi kutoka kwa polisi, lakini hawakupata msaada wowote. Hii inanipa wasiwasi na wagonjwa tunaowapeleka huko India kutibiwa. Mnaokwenda huko tafakarini!!

<font size="3">[video=youtube_share;96sSr0y5ASw]http://youtu.be/96sSr0y5ASw[/video]
 
Ila huku kwetu tunawalamba miguu.

Sio kuwapiga tu,wawaue kabisa.Sisi hatujitambui kabisa.Yaani tunajifanya wastaarabu na kuwapenda watu weupe,ilhali wao hawatupendi wala kutuhitaji kwao.Vipo Afrika kibao vinahangaika ila sisi tukienda kwao vinatumaindi.Waafrika tunajiongopea kuwa tunapendwa na watu weupe(taka).Ndio maana tunajipendekeza kwao.Nasema kwa akili zetu fupi tutaendelea kunyanyaswa na kuonewa mpaka kiama.Labda na sisi tu-react against them-kama walivyofanya mababu zetu.
 
Ukiangalia Ulaya na Marekani kuna double standards na sasa Asia nako yanakuwa haya!
Tumefanya kosa kubwa sana kumilikisha uchumi wetu kwa wageni na hata pale tunapoweza hatufanyi lolote bali tunashinda kwao kila leo tukiwaomba misaada kwa ajili ya kununulia vitafunio maofisini!
Bora haya mambo yakukute ughaibuni na ukirudi nyumbani basi ujisikie ufahali lakini nako tumeshapoteza uhuru huo.
Sasa naamini heshima haitatafutwa kwa kuiomba kwa binadamu mwenzako.
 
Nilileta Thread ya kuwa Hata waarabu africa sio kwao waondoke Mods wameifuta... kila mtu akae kwao... ndio mwisho wa ubaguzi...
 
Dhambi ya ubaguzi haiishi hapo,mwisho utambagua mamako,utasema hatoki ukoo wa baba ako,ende kwao.
 
Mfano wako haujakaa kishule shule... maana hauendani... na Dhambi... Kama ingekuwa ni Dhambi basi Binadamu wote wangekuwa wanafanana... Waislam huitana Ndugu katika Uislam na kama mtu si Muislam huyo si Ndugu lakini kwa hali alisi haifanyi kazi haswa mtu mweusi au mhindi akiwa anaishi uarabuni
 
Ubaguzi ni tabia ya mtu binafsi,sio kabila .
 
Sio kuwapiga tu,wawaue kabisa.Sisi hatujitambui kabisa.Yaani tunajifanya wastaarabu na kuwapenda watu weupe,ilhali wao hawatupendi wala kutuhitaji kwao.Vipo Afrika kibao vinahangaika ila sisi tukienda kwao vinatumaindi.Waafrika tunajiongopea kuwa tunapendwa na watu weupe(taka).Ndio maana tunajipendekeza kwao.Nasema kwa akili zetu fupi tutaendelea kunyanyaswa na kuonewa mpaka kiama.Labda na sisi tu-react against them-kama walivyofanya mababu zetu.

mkuu react tu,utaambiwa umekiuka haki za binadamu
 
Back
Top Bottom