K Kiboko Yenu JF-Expert Member Feb 12, 2012 311 65 Mar 16, 2012 #1 leo wanafunzi wa chuo kikuuu cha dodoma wanaounda organization inayojulikana kama udom chamber leo wametoa msaada wa vifaa vya usafi na mazingira katika shule ya sekondari viwahttp://issamichuzi.blogspot.com/2012/03/wanafunzi-wa-udom-wafanya-ziara-katika.htmlndani iliyopo mjini dodoma pia walipata nafasi ya kuzungumza na wanafunzi kuhusu umuhimu wa mazingira kwa habari zaidi bofya hapa MICHUZI: WANAFUNZI WA UDOM WAFANYA ZIARA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA VIWANDANI ILIYOPO DODOMA MJINI NA KUKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA USAFI LEO
leo wanafunzi wa chuo kikuuu cha dodoma wanaounda organization inayojulikana kama udom chamber leo wametoa msaada wa vifaa vya usafi na mazingira katika shule ya sekondari viwahttp://issamichuzi.blogspot.com/2012/03/wanafunzi-wa-udom-wafanya-ziara-katika.htmlndani iliyopo mjini dodoma pia walipata nafasi ya kuzungumza na wanafunzi kuhusu umuhimu wa mazingira kwa habari zaidi bofya hapa MICHUZI: WANAFUNZI WA UDOM WAFANYA ZIARA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA VIWANDANI ILIYOPO DODOMA MJINI NA KUKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA USAFI LEO
CHIEF MP JF-Expert Member Jul 6, 2011 1,559 678 Mar 16, 2012 #2 Hongera vjana ndo wajib ktk jamii yenu kama wasomi!