wanafunzi wa udom watoa msaada wa vifaa vya usafi

Kiboko Yenu

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
311
65
leo wanafunzi wa chuo kikuuu cha dodoma wanaounda organization inayojulikana kama udom chamber leo wametoa msaada wa vifaa vya usafi na mazingira katika shule ya sekondari viwahttp://issamichuzi.blogspot.com/2012/03/wanafunzi-wa-udom-wafanya-ziara-katika.htmlndani iliyopo mjini dodoma pia walipata nafasi ya kuzungumza na wanafunzi kuhusu umuhimu wa mazingira
kwa habari zaidi bofya hapa
MICHUZI: WANAFUNZI WA UDOM WAFANYA ZIARA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA VIWANDANI ILIYOPO DODOMA MJINI NA KUKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA USAFI LEO
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom