Wanafunzi Wa Food science SUA kujenga kiwanda cha wine

Wanafunzi Wa Food science SUA kujenga kiwanda cha wine

fagiobovu

Member
Joined
Oct 29, 2016
Posts
13
Reaction score
10
Baadhi ya wanafunzi waliomaliza digrii ya chakula kati ya mwaka 2014 na 2016(wamechanganyikana) mkoani morogoro wameamua kuunganika kwa pamoja na kuanzisha kiwanda cha wine ambacho,kinategemea kujengwa mkoani dodoma.

Kiwanda hichi kinachokadiriwa kuwa kikubwa sana,kinategemea kuajiri skilled labour 20,unskilled 60.
Pia vijana hawa wamepeleka salamu na pongezi za kutosha kwa mwalimu wao mpendwa Prof,Tsekwa (mtaalam wa Pombe) kwa kuwafanya wafikirie zaidi kujiajiri.

Mwisho Vijana hao wanamuomba Mh.waziri wa viwanda kuwapa support ya kutosha kwani wanataka kukabiliana na tatizo la ajira na kuendeleza ndoto za Mtukufu JPM katika kuitaka Tanzania ya viwanda.

source:NIPASHE
 
Kila la Heri kwa hao vijana.

Kumbe Prof. Tiisekwa ni mtaalamu wa pombe.
 
safi sana nashauri waiite "agricultural wine"
 
kwa ajira ya wafanyakazi 60 kwa wataalam 20, kiwanda hiki cha ajabu, hii ni sawa na nhitimu wa useremala wa veta anaajiri wasaidizi watatu.

Wacha wivu wa kike wewe.

Wewe umefanya nini na elimu yako ya hapa na pale????

Negative people Kama wewe ni sawa na wachawi kabisa. Kuliko kuua vile vizee Shinyanga ambavyo havijaenda Shule yafaa watu Kama ninyi mfungwe mawe mazito shingoni na kutumbukizwa kwenye kina kirefu baharini.

Hongereni Vijana kwa ndoto zenu. Msiwasikilize maskini wa fikra Kama huyu kilaza, ishini ndoto zenu na kuamini kwamba mtafanikisha malengo yenu kwa kukabiliana na changamoto mbalimbali mtakazokutana nazo.

Nawatakia kila la heri na mkishakamilisha brand yenu tupeni taarifa tuwaunge mkono kwani sisi ndio soko lenyewe!!
 
Wacha wivu wa kike wewe.

Wewe umefanya nini na elimu yako ya hapa na pale????

Negative people Kama wewe ni sawa na wachawi kabisa. Kuliko kuua vile vizee Shinyanga ambavyo havijaenda Shule yafaa watu Kama ninyi mfungwe mawe mazito shingoni na kutumbukizwa kwenye kina kirefu baharini.

Hongereni Vijana kwa ndoto zenu. Msiwasikilize maskini wa fikra Kama huyu ******, ishini ndoto zenu na kuamini kwamba mtafanikisha malengo yenu kwa kukabiliana na changamoto mbalimbali mtakazokutana nazo.

Nawatakia kila la heri na mkishakamilisha brand yenu tupeni taarifa tuwaunge mkono kwani sisi ndio soko lenyewe!!
choqo mwingine asiyejielewa
 
Elimu ya vijana hawa kwa hakika ndiyo ifaayo kwa mazingira ya sasa.
 
..its a good idea...wangejenga Dodoma maana kuna Mali ghafi ya zabibu za kutosha...ila sasa wataweza kupambana na viwanda vingine sokoni?maana issue ni market(soko)...na ubora...na parkaging...kuvundika juice ya zabibu na kupata pombe(ethanol) sio shida....all the best to them...ila ningewashauri watafte ubia na wajanja wa nje wawasaidue kwenye parking..etc
 
Baadhi ya wanafunzi waliomaliza digrii ya chakula kati ya mwaka 2014 na 2016(wamechanganyikana) mkoani morogoro wameamua kuunganika kwa pamoja na kuanzisha kiwanda cha wine ambacho,kinategemea kujengwa mkoani dodoma.

Kiwanda hichi kinachokadiriwa kuwa kikubwa sana,kinategemea kuajiri skilled labour 20,unskilled 60.
Pia vijana hawa wamepeleka salamu na pongezi za kutosha kwa mwalimu wao mpendwa Prof,Tsekwa (mtaalam wa Pombe) kwa kuwafanya wafikirie zaidi kujiajiri.

Mwisho Vijana hao wanamuomba Mh.waziri wa viwanda kuwapa support ya kutosha kwani wanataka kukabiliana na tatizo la ajira na kuendeleza ndoto za Mtukufu JPM katika kuitaka Tanzania ya viwanda.

source:NIPASHE
Wazo zuri na tunawatakia kila la heri! Wajitahidi watengeneze wine nzuri na Tanznia tuasitegemee tena za nje, au zipungue kabisa.
 
Wangeomba mashamba ili walime grapes na kupeleka kiwandani kwao badala ya kutegemea wakulima zaidi.

Hii itawapa vijana wengi zaidi ajira
 
kwa ajira ya wafanyakazi 60 kwa wataalam 20, kiwanda hiki cha ajabu, hii ni sawa na nhitimu wa useremala wa veta anaajiri wasaidizi watatu.

Ki-msingi viwanda vitakavyoleta maendeleo ni vidogo vidogo na wakati mwingine vile vinavyoendeshwa kwa ngazi za familia. Viwanda vikubwa vina changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja mtaji mkubwa kwa sababu za kiteknologia na utaalam. Hivyo hatua hii kama itafanikiwa ina tija, tuwatakie kila la kheri.
 
Back
Top Bottom