Wanafunzi wa chuo walioomba mkopo wote wamepata?

I really wish magufuli atumbue hili jipu nimesoma udsm kwa mkopo jamaniii inafika hatua uwezo wa kufanya vizuri unayumba sababu ya usumbufu wa mkopo, sasa wameanza na kudanganya kheee tena kumbe ni amri kutoka kwa magufuli aliwaambia bodi wahakikishe wote walioomba wamepata sasa wameibuka na uongo. .makumira nasikia ndio majangaa wanafunzi hawapewagi mikopo magumashi sana yaan ile hesleb sijui mashetani au wanaokotaka std seven waiendeshe miozo sana ilaaniwe yotee. ..
 
Mkopo wanapewa wenye vigezo tu na ndio wamezungumziwa na mkurugenzi. Kama wewe hauna points za kupata mkopo jilipie.

wewe unataka vigezo gani ?watu tuko Bsc education tumekosa mkopo waambie hivyo vigezo wakawape mama zao wakazile hizo pesa za maskini na wake zao na hasira nao
 
Back
Top Bottom