Wanafunzi wa China wako juu kitecnolojia kuibia mitiani.

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
Wanafunzi wa china wako juu kutumia tecnolojia katika kuibia mitiani,
Wakati huu bado wanafunzi wa kibongo wakitumia njia za kijima kuibia mitiani, kama kujiandika mapajani, kwenye nguo, kuingia na vibuti, n.k, nchina china ndo wanaongoza katika matumizi ya tecnolojia ya kisasa katika kufanya udanganyifu, polisi hutumika kugundua njia mbalimbali wazitumiazo.

Mwaka huu kuna mtahiniwa mchina kaongoza Tanzania hadi somo la kiswahili, nampa pongezi nyingi, hongera mama., nitumie ukurasa huu pia kumtakia mtiani mwema inayofuata wakaribishe na wengine kwa huku inawezekana, hongera mama
14bb2a2298c7d49961ddab04196a0d81.jpg

Moja ya tecnolojia zao
00bcaf7f5293b825b14d1255f44914d4.jpg

Hapa wanafunzi
Wakikaguliwa kuingia chumba cha mtiani china
 
Hivi kuibia kwenye mitihani kumbe ni sifa! haya basi ushauri wa bure: madaktari, mapailoti, wahandisi na wengine wakazane kuibia badala ya kufaulu kwa akili kwa akili zao halafu matokeo yake tutayaona^%$#@!
 
Wanafunzi wa china wako juu kutumia tecnolojia katika kuibia mitiani,
Wakati huu bado wanafunzi wa kibongo wakitumia njia za kijima kuibia mitiani, kama kujiandika mapajani, kwenye nguo, kuingia na vibuti, n.k, nchina china ndo wanaongoza katika matumizi ya tecnolojia ya kisasa katika kufanya udanganyifu, polisi hutumika kugundua njia mbalimbali wazitumiazo,
Mwaka huu kuna mtahiniwa mchina kaongoza Tanzania hadi somo la kiswahili, nampa pongezi nyingi, hongera mama., nitumie ukurasa huu pia kumtakia mtiani mwema inayofuata wakaribishe na wengine kwa huku inawezekana, hongera mama
14bb2a2298c7d49961ddab04196a0d81.jpg

Moja ya tecnolojia zao
00bcaf7f5293b825b14d1255f44914d4.jpg

Hapa wanafunzi
Wakikaguliwa kuingia chumba cha mtiani china
Wameiga kutoka kwa baba/mama/kaka/dada zao ambao wanaongoza kwa kuiba teknolojia duniani.
 
Nina shaka na yule wetu aliyefaulu kiswahili
 
Back
Top Bottom