nyamalagala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 744
- 675
Kama hujui kitu kinachoendelea pale DRD omba uambiwe.Ulimbukeni wa kuwa A level na kuanzavkuonesha dharau kwa walimu wa o level. Hao mwanafunzi walifika aje A level bila ya kupita o level?
Kama hujui kitu kinachoendelea pale DRD omba uambiwe.Ulimbukeni wa kuwa A level na kuanzavkuonesha dharau kwa walimu wa o level. Hao mwanafunzi walifika aje A level bila ya kupita o level?
Wala sihitajiKama hujui kitu kinachoendelea pale DRD omba uambiwe.
Bila kumsahau majomba ila nilibahatika kuoa pale dareda na kuwa mkulima wa vitunguu maji maeneo ya mandi baada ya kuona anko magu anazinguaUmenikumbusha. Tulipewa kazi ya kusahihisha BRN darasa la saba tukajipatia vijisenti vya kumsumbua boss ( yule mpishi mkuu na mandazi yake ha ha ha ha )
Majomba siku hizi hayupo pale. Mwaka 2016 wanafunzi zaidi ya hamsini na walimu watatu walilazwa kule Dareda Mission baada ya kula chakula kilichosadikika kuwa na sumu. Uchunguzi ulianzia kwa wapishi ndipo wote wakasimamishwa kazi ili kubaini ukweli wa chanzo cha sumu hiyo kuwemo kwenye chakula. Baada ya uchunguzi Majomba hakurudishwa kazini tena mpaka leo.Bila kumsahau majomba ila nilibahatika kuoa pale dareda na kuwa mkulima wa vitunguu maji maeneo ya mandi baada ya kuona anko magu anazingua
Na hatimae nimekuwa mkaz wa manyara bila kutarajia
Aisee hatari sanaMajomba siku hizi hayupo pale. Mwaka 2016 wanafunzi zaidi ya hamsini na walimu watatu walilazwa kule Dareda Mission baada ya kula chakula kilichosadikika kuwa na sumu. Uchunguzi ulianzia kwa wapishi ndipo wote wakasimamishwa kazi ili kubaini ukweli wa chanzo cha sumu hiyo kuwemo kwenye chakula. Baada ya uchunguzi Majomba hakurudishwa kazini tena mpaka leo.
Pamoja na mambo mengine kusababisha walimu kuhamishwa huku utawala nao ukibadilishwa, sumu pia ilichangia. Kule mamile kuna mwalimu wangu wa Kiswahili tulipenda kumuita MAZINDE nadhani hili jina siyo geni. Bonge la mwalimu aisee. Magugu alipelekwa mkuu najua unamfahamu maana nyinyi ndo alianza na nyie kama advance. mwingine yupo Galapo ( nisingependa kumtaja kwani aliondolewa pale kutokana na malalamiko ya kutomudu ufundishaji hasa kwenye Chemistry licha ya kuwa na masters.Aisee hatari sana
Au ndyo maana baadhi ya walimu huwa nawaona huku galapo ,magugu na mamire
Nashukuru kwa taarifa mm niliondoka pale mwaka 2011 sikufatilia tena habar za dareda mpaka leo ndyo naziona humu
Sawa mkuu mazinde namfaham vizur sana tulimpa jina la mazinde kwasababu alitokea shule ya mazinde juu tanga alitokea private akaingia governmentPamoja na mambo mengine kusababisha walimu kuhamishwa huku utawala nao ukibadilishwa, sumu pia ilichangia. Kule mamile kuna mwalimu wangu wa Kiswahili tulipenda kumuita MAZINDE nadhani hili jina siyo geni. Bonge la mwalimu aisee. Magugu alipelekwa mkuu najua unamfahamu maana nyinyi ndo alianza na nyie kama advance. mwingine yupo Galapo ( nisingependa kumtaja kwani aliondolewa pale kutokana na malalamiko ya kutomudu ufundishaji hasa kwenye Chemistry licha ya kuwa na masters.
Ile ni mashine imara kwenye kiswahili. Tulilikuta jina hilo tukaliendeleza. Sishangai yeye kuwa TO kwa walimu wa kiswahili kwani yule mmmmh! acha tu. Nmshukuru sana amenijenga vema hadi nami nimehitimu na nimeandika RIWAYA yangu na kama siyo yeye kuninoa vema pengine ningekuwa wa kuparaza tu kwenye somo hili. Mwezi wa sita mwaka huu nilienda kumtembelea kule alikopelekwa Mamire na nilifurahi sana kumkuta akiendeleza wembe uleule wa kufaulisha somo lake vema.Sawa mkuu mazinde namfaham vizur sana tulimpa jina la mazinde kwasababu alitokea shule ya mazinde juu tanga alitokea private akaingia government
aisee we jamaa ni kiboko ya vibokoM mwenyewe nishawah kufukuzwa jela kisa mgomo, inauma sana
Sasa ishu yenyewe hujaielewa vizuri harakaharaka umekimbilia jf. Kah kweli hii nchi inaendeshwa kwa kasi sana.Niliwaona siku ya mgomo na niliongea nao baadh nikapewa data hizi.. Kwaiyo sielew na ivi kesh kuna kikao cha wazaz na walimu.. Kuhusu ili
hivi sawee ipo upande ganiAisee hatari sana
Au ndyo maana baadhi ya walimu huwa nawaona huku galapo ,magugu na mamire
Nashukuru kwa taarifa mm niliondoka pale mwaka 2011 sikufatilia tena habar za dareda mpaka leo ndyo naziona humu
Sio ulimbukeni shida ya hawa walimu wa o level huwa wanashindwa kutofautisha advanced na o level kwenye ability of reasoning, wao huchukulia wote wana akili kama watoto wa form 1Ulimbukeni wa kuwa A level na kuanzavkuonesha dharau kwa walimu wa o level. Hao mwanafunzi walifika aje A level bila ya kupita o level?
Atakaeiacha hii comment bila like. .. Ana roho mbaya kinoma ... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]M mwenyewe nishawah kufukuzwa jela kisa mgomo, inauma sana
Haki gani ya msingi nyie mpuuzi!?.. Mmeenda soma shule ya Dini mnataka jikuta wajanja, fukuzweni mje muone maisha ya mtaani yalivyo!. Watu tumesoma Seminary na kwenda Kanisani hata kama Muislam ilikuwa lazima hutaki unataka, sikukuu za kidini hakuna kusoma, leo mnajikuta vijanja kuleta migomo ya kipuuzi!..Inauma alafu ukizingatia walikuwa wanadai haki zao tena za msing kabisa