Nurdin bsshiru
Member
- Nov 12, 2016
- 13
- 5
Acha tuisome namba
Mwaka jana wanavhuo 120000 ,,mwaka huu ,wanachuo 25000 bajeti gani hiyo ambayo baba anapunguza unga wa mwezi huu kwa sababu mwezi uliopita mlinenepa sana.Yaani hao wanatakiwa wastoke hapo loan board, waweke kambi hapo maana majibu ni yale yale eti bajeti........
Ina maana bajeti ya serkal walikuwa hawajui kuwa wanafunz ni weng.......??
Waache mambo yao bwana wanafunzi wana hali mbaya vyuoni na ni watoto wa maskini mno.......
Inauma sana kiukweli
[HASHTAG]#MUNGUibarikiTz[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
Mwaka jana wanavhuo 120000 ,,mwaka huu ,wanachuo 25000 bajeti gani hiyo ambayo baba anapunguza unga wa mwezi huu kwa sababu mwezi uliopita mlinenepa sana.
Hahahahahahahahaha
Tuanzishe mchango wa kuwachangia watoto wetu wasome,hili ni tetemeko la elimu na future.
Tufungue AC. KAMATI MAAFA YA HIGHER EDUCATION.