Wanafunzi vyuo vikuu wapiga kambi bodi ya mikopo

Lituye

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
1,864
Reaction score
5,697
Hali imezidi kuwa mbaya kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini baada ya Leo kujitokeza kwa wingi ktk ofisi za bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kujua hatima ya maisha yao.

Wakiongea kwa uchungu kupitia taarifa ya habari SAA mbili usiku ITV wanafunzi hao wamesema kwa sasa hali zao ni mbaya hawajui watakula nini wala kulala wapi kwakuwa hawana pesa za kujikimu.

Mwanafunzi mmoja ametoa Kali ya mwaka akidai wanaingia darasani kusoma lakini wanakaa Kama MAZOMBI tuu kwa kuwa hawaelewi chochote kutokana na hali ngumu.

Jamani hebu tusaidie taifa hili na husani vijana hawa kupata haki yao ya kikatiba wengi wao wanaonekana kukata tamaa na kupoteza ndoto zao.
 
Nadhani sasa watawaambia wazazi wao waache kushabikia kofia, fulana, t shirts na kanga. Hii itasaidia sana kuwatoa matongo tongo
 
Hawa ndo future leaders, teachers, doctors, industrial revolutionists, engineers etc. Sasa wakionewa hivi, serikali inategemea workforce yake itakuwaje hapo baadae, kama haitakuwa na watu wenye low productivity and poor skills!
 
Waambie Waende chato wakaongee na mama labda mkulu atamsikia
 
Hali imezidi kuwa mbaya kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini baada ya Leo kujitokeza kwa wingi ktk ofisi za bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kujua hatima ya maisha yao.

Wakiongea kwa uchungu kupitia taarifa ya habari SAA mbili usiku ITV wanafunzi hao wamesema kwa sasa hali zao ni mbaya hawajui watakula nini wala kulala wapi kwakuwa hawana pesa za kujikimu.

Mwanafunzi mmoja ametoa Kali ya mwaka akidai wanaingia darasani kusoma lakini wanakaa Kama MAZOMBI tuu kwa kuwa hawaelewi chochote kutokana na hali ngumu.

Jamani hebu tusaidie taifa hili na husani vijana hawa kupata haki yao ya kikatiba wengi wao wanaonekana kukata tamaa na kupoteza ndoto zao.
Njaa mbaya jamani,,,,,,,wafanye kuwakumbuka.
 
Sasa hawa wanaopanda ndege za ATCL,kupunguza safari za nje,kupunguza idadi ya wakuu wa mikoa na maafisa mbalimbali wasiende kuhudhuria sherehe kwa madai ya kubana matumizi,kama wanashindwa Kutoa hata mikopo ya wanafunzi,hizi fedha wanazo zibana wanazipeleka wapi?na wanazibana kwa ajili ya nini?.
 
very sad hamna namna tulimpenda wenywe tushangilie sana
 
Kuna wakati wa furaha na wakati wa mateso, lakin wale wa njano na kijani si nao walikuwepo kutoa kilio chao.
Nawaonea huruma makamanda wenzangu japo kwetu shida ni mapito tuliyozoea.
Wa kijani endeleen kuisoma namba kama sisi tulioanza mapema mpk siku mkijutia maamuzi yenu.
 
Mlikataa elimu bure mpk chuo kikuu na wazazi wenu ndo kwanza makelele eti yule fisadi ataweza wapi?
Msimuwazie mzee wa watu, mtajuta kufika kanani.
 
Sasa hawa wanaopanda ndege za ATCL,kupunguza safari za nje,kupunguza idadi ya wakuu wa mikoa na maafisa mbalimbali wasiende kuhudhuria sherehe kwa madai ya kubana matumizi,kama wanashindwa Kutoa hata mikopo ya wanafunzi,hizi fedha wanazo zibana wanazipeleka wapi?na wanazibana kwa ajili ya nini?.
Watakuwa wanazibana ili wazile, kama walivobana hela za tetemeko
 
Hali imezidi kuwa mbaya kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini baada ya Leo kujitokeza kwa wingi ktk ofisi za bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kujua hatima ya maisha yao.

Wakiongea kwa uchungu kupitia taarifa ya habari SAA mbili usiku ITV wanafunzi hao wamesema kwa sasa hali zao ni mbaya hawajui watakula nini wala kulala wapi kwakuwa hawana pesa za kujikimu.

Mwanafunzi mmoja ametoa Kali ya mwaka akidai wanaingia darasani kusoma lakini wanakaa Kama MAZOMBI tuu kwa kuwa hawaelewi chochote kutokana na hali ngumu.

Jamani hebu tusaidie taifa hili na husani vijana hawa kupata haki yao ya kikatiba wengi wao wanaonekana kukata tamaa na kupoteza ndoto zao.

Yaani hao wanatakiwa wastoke hapo loan board, waweke kambi hapo maana majibu ni yale yale eti bajeti........

Ina maana bajeti ya serkal walikuwa hawajui kuwa wanafunz ni weng.......??

Waache mambo yao bwana wanafunzi wana hali mbaya vyuoni na ni watoto wa maskini mno.......

Inauma sana kiukweli
[HASHTAG]#MUNGUibarikiTz[/HASHTAG]

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Asilimia 15%tutakatwa tu kama halo no hiyo na hakuna njia nyingine kusaidia vijana wasome
 
Hv JK alikuwa anatoa hela wapi jmn, maana enzi Zake Hali ilikuwa fresh tu hd wanafunzi hewa walipata mikopo.
 
Chama kinajali mazishi ya kitaifa kuliko kusaidia walio hai jamani.

Hata hao wanafunzi wakifa na njaa utasikia Serikali itagharamia mazishi yao wote kitaifa.

Mungu anawaona lakini Lumumba huko.
 
Nimemuona binti mmoja akiongea kwa uchungu kuwa yeye hana hata mzazi mmoja na mkopo hajapata........roho inauma ila ndio sina cha kufanya.
 
Back
Top Bottom