Wanafunzi vyuo vikuu amkeni na saidia kuing'oa CCM madarakani

Ki Mun

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
3,442
Reaction score
4,392
Mtoto wa maskini uliyesoma shule ya kata,wazazi wako wameuza viazi,nta,mchicha na kuponda kokoto wakakulipia ada elimu ya sekondari na sasa umepata nafasi ya kujiunga Chuo Kikuu lakini ndoto yako imezimika ghafla...umenyimwa mkopo na sasa wazazi wako wanalazimika kuendelea kuponda kokoto ili wakulipie masomo yako ya chuo kikuu,mkopo amepewa mtoto wa kigogo wa serkali,tena 100%.BADO TU HUNA UFAHAMU UNAVALISHWA T-SHIRT ZA NJANO NA UNAWASHANGILIA CCM???Amka mdogo wangu,sambaza ujumbe wa mageuzi,saidia kutoa elimu ya uraia,waamshe marafiki na majirani zako ili tuing'oe CCM madarakani,bila kuchukua hatua mtaendelea kuteseka sana
 
dah hawa watoto wa chuo siku hizi ubrazamen na usista du mwingi
 
Mkuu wasomi wa sasa ni tofauti na wa zamani, wa siku hizi njaa tupu! Wakipewa mshiko tu wanaweza hata kujikana wenyewe!
 
Hoja yako dhaifu sana mbona wanafunzi wengi wa vyuo vikuu wanasoma kwa mikopo.
 
Unaleta fikra zako na mawazo yako dhidi ya wanafunzi wa vyu vikuu, wanafunzi wameikataa Chadema baada ya kuona hawana sifa ya kuingoza Tanzanzia ni chama cha kikanda.
 
Huko vyuo vikuu hamna kitu bora uraiani akina Bunsen bana sorry Dr Benson Bana wameharibu mindset za wanafunzi .
 
Unaleta fikra zako na mawazo yako dhidi ya wanafunzi wa vyu vikuu, wanafunzi wameikataa Chadema baada ya kuona hawana sifa ya kuingoza Tanzanzia ni chama cha kikanda.

Acha siasa za kijinga ndugu yangu khaaa.......
ulichokiandika hapo juu sidhani kama kinaendena na wewe,,,huu ukabila unakusaidia nini??bila shaka unatumika vibaya bila kujua......POOR EVER!!
 
Mtoto wa maskini uliyesoma shule ya kata,wazazi wako wameuza viazi,nta,mchicha na kuponda kokoto wakakulipia ada elimu ya sekondari na sasa umepata nafasi ya kujiunga Chuo Kikuu lakini ndoto yako imezimika ghafla...umenyimwa mkopo na sasa wazazi wako wanalazimika kuendelea kuponda kokoto ili wakulipie masomo yako ya chuo kikuu,mkopo amepewa mtoto wa kigogo wa serkali,tena 100%.BADO TU HUNA UFAHAMU UNAVALISHWA T-SHIRT ZA NJANO NA UNAWASHANGILIA CCM???Amka mdogo wangu,sambaza ujumbe wa mageuzi,saidia kutoa elimu ya uraia,waamshe marafiki na majirani zako ili tuing'oe CCM madarakani,bila kuchukua hatua mtaendelea kuteseka sana

Yaan serikali hii ccm inachofanya sio kabisa. Mm nimehangaika kumsomesha mdogo wangu sasa amepata chuo lakini hajapewa mkopo yaan niko confused sijui nifanyeje hali mbaya. Tafadhari naiomba serikali ifikirie upya iwapatie mikopo wanafunzi wote,
 
Mtoto wa maskini uliyesoma shule ya kata,wazazi wako wameuza viazi,nta,mchicha na kuponda kokoto wakakulipia ada elimu ya sekondari na sasa umepata nafasi ya kujiunga Chuo Kikuu lakini ndoto yako imezimika ghafla...umenyimwa mkopo na sasa wazazi wako wanalazimika kuendelea kuponda kokoto ili wakulipie masomo yako ya chuo kikuu,mkopo amepewa mtoto wa kigogo wa serkali,tena 100%.BADO TU HUNA UFAHAMU UNAVALISHWA T-SHIRT ZA NJANO NA UNAWASHANGILIA CCM???Amka mdogo wangu,sambaza ujumbe wa mageuzi,saidia kutoa elimu ya uraia,waamshe marafiki na majirani zako ili tuing'oe CCM madarakani,bila kuchukua hatua mtaendelea kuteseka sana

Msidangaje wanafunzi kama chadema wanakula fedha za ruzuku makao makuu pekee je wakipata madaraka hata feha za mikopo kwenye vyuo zitaliwa na mahawara zao
 
Mkuu wasomi wa sasa ni tofauti na wa zamani, wa siku hizi njaa tupu! Wakipewa mshiko tu wanaweza hata kujikana wenyewe!

unatuonea mkuu kwani hao wasomi wa zamani wamefanya kipi cha maana? Si ndio hawa mnawaita maprofesa akina prof kapuya. Tibaijuka. Akina werema, chenge na wengine wengi hawa nao ni wasomi.

Mkuu nakubali kwamba baadhi ya wasomi wa siku hizi hawajitambui anaweza akatetea ujinga tena kwa hoja za kijinga. Tunao wengi na wengine wanadiliki kusema kuing'oa ccm ni ndoto, hawa nao ni wasomi! Ndio maana hata mchango wetu hauonekani mkuu ila tunajikongoja hivyohivyo.

Wanachuo wengi wanapoanza harakati wanataka wapewe madaraka hata kabla ya mafanikio ya harakati zake. Kazi bado ngumu sn.
 
Back
Top Bottom