Wanafunzi Olympio 1976

sisdubai

Member
Feb 9, 2011
9
3
Nawatafuta wanafunzi wenzangu Olympio Primary School Dar class of 1976. Nilikuwa nnahitaji kuwasialiana na Mpeli Swebe, Pius Makene
 
HAWA wote wawili nimewaacha bongo wakiwa wateja,mpesly sijui kwa sasa yuko wapi,lakini pius yuko mitaa ya kinondoni
 
Mwaka 1976 duh!, chumvi unayo! Wengine humu miaka hiyo bado wanapambana na nepi(sidhani kama pampazi zilikuwepo), wengine ndio kwanza wazazi wao wanatongozana ili ije ndoa, mimba halafa waje kwa ndunia nk.

Kila la kheri ya kukutana na class mate.
 
Class of 1976! Yaani mlikuwa mnamaliza? Laiti kama mungekuwa mnaanza I could help a little maana nami nilikuwa hapo. Nilihama early 80 mimi ni mtoto wa mtaa wa Maweni. Born there there!
 
ila mimi ningependa kukushauri ungespesfy kuwa huo mwaka ni wa kuanza au kumaliza halafu pia na kupa hongera kwani watoto wa enzi hizo waliokuwa wakisoma katika shule hiyo ni wale wa vigogo kwa hiyo pia wengi hawapo nchini wapo majuu na shangaa wewe bado tu ujaoondoka
:laugh:
 
Olimpyo yenyewe imeanzishwa juzi juzi miaka y 90 ....sa cjui hiyo olimpyo y 76 ni ipi? ....kwani we upo hai au umekufa?
 
Son of Alaska mbona nnakukumbuka. Nilikuwa nikikuona pale myuma ya St Joseph - nyuma ya library. Unamkumbuka Faridi? yuko wapi
 
Son of Alaska mbona nnakukumbuka. Nilikuwa nikikuona pale myuma ya St Joseph - nyuma ya library. Unamkumbuka Faridi? yuko wapi
duuuh!!!!!!!!Au hiyo avatar ime blow cover yangu-yaani umepiga ndipo-hapo st JOSEPH kwa saaaaaana,huyo faridi nawajua kama watatu,labda ujaze details zaidi
 
Back
Top Bottom