wanafunzi Muhimbili wagoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanafunzi Muhimbili wagoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fangfangjt, Jan 31, 2011.

 1. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  source RadioONE
   
 2. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Inapendeza sana.:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
   
 3. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Ksa cha kugoma ni nini? BTW acha wagome kama wameamua
   
 4. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Safi sana. Na hiyo ndo msg kwa hawa viwavi jeshi wa ssm ambao wanahaha kurubuni wanafunzi wa chuo ili waendelee kutawala. Lakini nadhani sasa watu wamefikia mwisho hawadanganyiki tena.
   
 5. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,722
  Likes Received: 1,213
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa vema zaidi migomo hii kuwa organized countrywide kwa ajili ya kuleta impact kubwa.
   
 6. B

  Baba Tina Senior Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tanzania bila migomo HAIWEZEKANI!!!!! Let them do it maana nchi hii haiendi bila migomo.
   
 7. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Safi sana, coz migomo husaidia wananchi kuichukia serikali na chichiem
   
 8. m

  mwakabana Member

  #8
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yah hao waliogoma ni school of medicine and dental issue ni walezi wao i mean deans ni hawawatendei haki and failure rate ya clinical years ni kubwa and problems ni lecturers ARE so harsh . Another thing kuna hela zao za fieldwork DEAN WAO anapanga kuzipunguza kutoka laki 7 hadI LAKI NNE yani huyo dean ana maamuzi as if yeye ndo VC. SOURCE mm nipo muhimbili and nasoma hapa BPHARM
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  kwanza wamechelewa sana!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  This is really bad news kwa serikali yetu naona huu ni mwaka wa shetani
   
 11. Freestyler

  Freestyler Senior Member

  #11
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbona unaleta habari nusunusu? Chanzo cha mgomo ni nini?
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Soma hii hapa chini:

   
 13. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Badala ya kugoma wakati wanampa mkuu wa mafisadi degree ya heshima bila kujali alichofanya wakati kina mama wajawazito wanalala chini mahospitalini na vifo vya watoto vyazidi kuindama nchi ....dawa za malaria za kubeep hakuna dawa maalumu kila inayokuja unaambiwa ipo kwenye majaribio!!!!...Wanakuja kugoma sasa!!!
  WAMEKUMBUKA SHUKA KUSHAKUCHA HAO.
   
 14. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sio mbaya hawajachelewa sana,karibuni kwenye mapinduzi ya kweli....:A S 20::A S 20::roll:
   
 15. M

  Matarese JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Teh teh, hizi ni purely internal affairs, ila unaweza sikia "kuna mkono wa chadema"
   
Loading...