Wanafunzi kunyimwa mkopo

Wanafunzi kunyimwa mkopo

Tatizo ni uhaba wa pesa. Hawana pesa za "kumkopa" kila anayehitaji mkopo. So, wanaprioritize wale waliosoma shule za kata, wakiamini kwamba aliyesoma Feza Boys and the like hahitaji kukopwa chochote
Hapo ndio penye ukweli. Mapato ya serikali si makubwa, lakini miradi inayo tekelezwa kwa wakati mmoja ni balaa. Kukwepa kuwekeza kwenye elimu ya juu kuna athari kubwa kitaifa mbeleni.
 
Hili swala kweli linawanyima wengi fursa, pia inawezekana mzazi au mlezi amemsomesha mtoto hizo shule za binafsi lakini maisha yamebadilika kipato kimeshuka, huko ni kumnyima huyu mtoto haki yake ya kusoma kwa kosa la mzazi/mlezi kufilisika.
 
Halafu ni mkopo ambao utarudishwa. Si grant wala scholarship.
 
Mkuu tulia, we are on the right track!
tapatalk_jpeg_1544296142852.jpeg
 
Nikiufikiria huo mkopo huwa nawaza bora wasingenipa tu, ningeunga unga mwana ningesoma. Asilimia 15 makato inatesa jamani. Toka waanze kukata asilimia 15 maisha yangu hayako stable
 
Wakitaka mambo yao utawasikia pesa tunazo, tena tutalipa cash. Kwenye haya ya kwetu na ya msingi wanasema fedha haitoshi hapo hapo wakijisahau utawasikia "hakuna mwenye uhitaji atakae kosa mkopo". Udahili shida na mkopo ndio kabsaa.
 
Back
Top Bottom