Wanafunzi wa zama hizi wana kazi sana katika suala zima la masomo maana huu usasa umeharibu wengi.. baba busy jf, mama busy ig, mtoto busy fb, mwalimu busy twit, fb, ig na snap... lol pole yao but kuwazomea ni kama wamepewa motisha wasijisahau sababu hata mzazi mwanao akifeli unamuadhibu haijalishi kama wewe hukusoma basi na ndio umuache tu afanye atakalo.