Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

Una tatizo kubwa sana akilini wewe
mbona umekua mkali mkuu??? kwani kuuliza ni ujinga??? na kwa nin uwe mkali?? ina maana ni ukweli?? ASILIMIA KUBWA ya mafisadi wametokea wapi?? sio kutoa povu tu kama umekatwa kichwa...usitake mwonyesha kila mtu una uwezo mdogo wa kufikiri!!!!!!!
 
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.
Kwa ada ya chuo kwa kiingereza si ndio "tuition fee" au ni 'ushamba' wangu tu?
 
mwenye huu uzi hana uhakika na mada aliyo ianzisha yawezekana kakuta watu wanagonga discussion kwa ustarabu kabisa alipo ona tu kajua tuition, labda tumuombe atueleze wanapigia tuition mitaa ipi na ni dr. Gani au mtu gani mwenye hiyo project.

inawezekana hao wanafunzi wamejiandikisha mitihani ya Bodi so they probably attending review classes. mtoa mada no research no right to speak!!!!
 
huenda mi nikawa na mtizamo tofauti kidogo na wadau wangu waliotangulia,
ivi dent atakapoona mambo hayaendi darasani na akaamua kuingia kwa mdau anayefundisha tiution tena kwa gharama binafsi sidhani kama amekosea kwakua wengine wana mapokeo tofauti na makundi ya kujadili.pia utakuta kundi hili halijiwezi kutafuta ujuzi binafsi katika library.wacha iwagharim tu na hao wadau wajipatie kipato ingawa natambua mmomonyoko mkubwa wa taalum kwani watu sasa hawataki kujiumiza, ni matumizi ya pesa kifanikisha masuala bila kujali madhara yake.
 

hapa kuna tofauti kubwa sana ya kimtazamo hasa kwa upande wa wachangiaji wanavyoonekana kukanusha maada inaonesha dhaili kiasi gani ulivyowagusa.

kwanza mnatakiwa tuelewe na tukubaliana kwamba kutokana na muundo huu wasomi wa chuo kikuu kutegemea tution ni changa moto kubwa sana hata kama ni under graduate.na hii tukitaka kuhakiki ni ule wakati inapofika interview ni vituko tu.asilimia kubwa graduate from UDSM anashindwa kumueleza mtu amuelewe kwa ufasaha.iwe kwa kingereza au kiswahili full vululu.
hii yote ni kwa sababu ya kukopy na kupest.....yaana pale mabibo hostel ni kupokezana vijicopy vya notice mwanzo mwisho...wawili au mmoja angalau utamkuta anatoa copy kitabu.

jamani aibu......tujitahidi kuikabili hii changamoto kuchimba vitu kiundani zaidi siyo brabra tu.
ni hayo tu
kupokezana
hii
Mimi sikusoma UDSM lakini naomba nikuulize wewe mwenye thread hii! Kuna umeshawa-interview wangapi ukaona huo uvululu wao?
Pili africa Juzi walitoa vyuo 100 bora ebu nambie UDSM ilikuwa ya ngapi kwa ubora!?
haya mambo yenu nendeni mkaropokee katika vilabu vya gongo mlivyozoea kudanganyana!
mimi sikusoma UDSM lakini sipendi unafiki kwenye ukweli tuuseme!
Kuhusu tuition mi sijui kama kuna ukweli hapo manake mimi nikiwa chuo kuna mwalimu alijitolea kufundisha 6hours per weak wakati alipangiwa 3hrs per week ila baada ya kuona ugumu aliamua kujitolea kufundisha darasa zima free of charge! sijui kama na hiyo ilikuwa tuition
 
changanyikeni kuna pindi la accounting na ni tsh 1000 per kipindi! siku za pindi kwa first year ni jumanne na jumamosi. sasa sijui kwa nini ndugu zangu mnabishia ukweli.
 
changanyikeni kuna pindi la accounting na ni tsh 1000 per kipindi! siku za pindi kwa first year ni jumanne na jumamosi. sasa sijui kwa nini ndugu zangu mnabishia ukweli.

nawapongeza wote walioenda tuition! Imagine hukusoma Book keeping sec yote, umeikuta chuo kikuu kusiko na walimu! Narudia lecturers are not teachers! Profs and Drs hawajui kufundisha.
 
changanyikeni kuna pindi la accounting na ni tsh 1000 per kipindi! siku za pindi kwa first year ni jumanne na jumamosi. sasa sijui kwa nini ndugu zangu mnabishia ukweli.

mkuu weka namba ya simu ya huyo mwl ili wengi wafaidike!
 
hawa wanaobisha ndio waliosoma political science hawajuii hii mambo!
kuna kitu cha financial report na management accounting
usipopiga pindi changanyikeni lazima urudi supp
sasa mnachobisha kitu gani! wakati cpa tuition vichochoroni magraduate kibao wamejazana huko
 
Back
Top Bottom