Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 575
mama v huyooUna tatizo kubwa sana akilini wewe
mama v huyooUna tatizo kubwa sana akilini wewe
am nat sure wit above thread xo natn i can say, lemme chln aside en let da PPL WHO KNW ABT zis 2 drop wt zei know
xac na mi namcngaa, ila nakucngaa u xaid
mtoa mada mbona **** watu wanasoma preuniversity?
am nat sure wit above thread xo natn i can say, lemme chln aside en let da PPL WHO KNW ABT zis 2 drop wt zei know
acheni kutukana haya ya kweli tuisheni center moja ipo changanyikeni. kubalini ukweli. mi mwenyewe japo nipo kitaa huwa ninwaonatoa thread yako ya kishenzi na majungu mpuuzi mkubwa wee
acheni kutukana haya ya kweli tuisheni center moja ipo changanyikeni. kubalini ukweli. mi mwenyewe japo nipo kitaa huwa ninwaona
mbona umekua mkali mkuu??? kwani kuuliza ni ujinga??? na kwa nin uwe mkali?? ina maana ni ukweli?? ASILIMIA KUBWA ya mafisadi wametokea wapi?? sio kutoa povu tu kama umekatwa kichwa...usitake mwonyesha kila mtu una uwezo mdogo wa kufikiri!!!!!!!Una tatizo kubwa sana akilini wewe
Kwa ada ya chuo kwa kiingereza si ndio "tuition fee" au ni 'ushamba' wangu tu?Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account. Uuh! Ushamba wangu huu.
mwenye huu uzi hana uhakika na mada aliyo ianzisha yawezekana kakuta watu wanagonga discussion kwa ustarabu kabisa alipo ona tu kajua tuition, labda tumuombe atueleze wanapigia tuition mitaa ipi na ni dr. Gani au mtu gani mwenye hiyo project.
kiswanglishMhhhhh!Mkuu sasa hii lugha gani?
rogger dat:majani7:Just a thought mkuu, achana na hii lugha mara moja, it will cost you big time hapo baadaye!
Mimi sikusoma UDSM lakini naomba nikuulize wewe mwenye thread hii! Kuna umeshawa-interview wangapi ukaona huo uvululu wao?
hapa kuna tofauti kubwa sana ya kimtazamo hasa kwa upande wa wachangiaji wanavyoonekana kukanusha maada inaonesha dhaili kiasi gani ulivyowagusa.
kwanza mnatakiwa tuelewe na tukubaliana kwamba kutokana na muundo huu wasomi wa chuo kikuu kutegemea tution ni changa moto kubwa sana hata kama ni under graduate.na hii tukitaka kuhakiki ni ule wakati inapofika interview ni vituko tu.asilimia kubwa graduate from UDSM anashindwa kumueleza mtu amuelewe kwa ufasaha.iwe kwa kingereza au kiswahili full vululu.
hii yote ni kwa sababu ya kukopy na kupest.....yaana pale mabibo hostel ni kupokezana vijicopy vya notice mwanzo mwisho...wawili au mmoja angalau utamkuta anatoa copy kitabu.
jamani aibu......tujitahidi kuikabili hii changamoto kuchimba vitu kiundani zaidi siyo brabra tu.
ni hayo tu
kupokezana
hii
changanyikeni kuna pindi la accounting na ni tsh 1000 per kipindi! siku za pindi kwa first year ni jumanne na jumamosi. sasa sijui kwa nini ndugu zangu mnabishia ukweli.
changanyikeni kuna pindi la accounting na ni tsh 1000 per kipindi! siku za pindi kwa first year ni jumanne na jumamosi. sasa sijui kwa nini ndugu zangu mnabishia ukweli.