Dr. Wansegamila Sababu sio mahusiano, sababu iliyowafanya wafukuzwe chuo ni "uzinifu"
Mkuu hilo povu sio LA nchi hii,kuwa makini na wasio julikana!Kwani hiyo imekuwa primary /secondary school? Mapenzi ni sehemu ya maisha na umri ukifika ni sharti u-socialise, vinginevyo ni hatari kwa mtu mzima kuwa mpweke na inaweza kupelekea msongo wa mawazo. Hao ni watu wazima bhana..; vipi kwa wanandoa wanaosoma chuoni hapo pamoja? Na hata waliooa au kuolewa waliwezaje bila kutongozana kwanza? Au wanatingozana wakiwa watatu kama sheria inavyotaka? Au wenzetu wanaoa bila kutongoza, unabeba tu kama bidhaa kwenye supermarket? Hizi dini nyingine hizi. Ndio maana Seminary za hawa majamaa huwa wanaishia kupata mazero tu kila mwaka, maana wanaacha/wanashindwa kusimamia vitu vya msingi vilivyowaweka kazini wanabaki kutafuta umaarufu kwa mambo ya kishenxi shenxi tu.., mbadilike bwana..
Kwahiyo huwa wanabeba tu mtu na kwenda kumuoa kama unanunua ndizi sokoni vile..Unajua kuna kitu kimoja watu hawaujui Uislamu...
Uislamu ni mgumu una sheria kadha wa kadha
Yakupasa ufahamu, Chuo kama chuo + Islam Sharia... hauruhusiwi kuwa karibu baina ya Mwanaume na Mwanamke wakiwa wawili tuu mpaka kuwe na mtu wa tatu....
No hand to hand contact kati Mwanaume na Mwanamke inaruhusiwa endapo ni Nduguye au Mwanandoa wako
Issue ya kutongoza huwezi kuepuka hayo mambo mawili.... Ambayo yameharamishwa..
Maneno “kitanda cha ndoa” hurejelea ngono kati ya mwanamume na mwanamke waliofunga ndoa kihalali. Mmoja wao akifanya ngono nje ya ndoa anafanya uzinzi na anaweza kuhukumiwa vikali na Mungu. Malaki 3:5.
MnAkalia vitu vya hovyohovyo ndo maana elimu inawashindaUzinzi ni uzinzi tu, hajalishi umri. kuna dini inaruhusu uzinifu kwani?
Kama kitu hujui uliza kwanza. Inawezekana mshezi baba na mama yako waliokutana vichochoroni ukapatikana wewe nje ya ndoa. Ndio maana unaambiwa kila sehemu insheria zake ambazo hazitakiwi kuwa juu ya katiba ya nchi. Nenda kwa kakobe akakupige hela mana huko ndio unapopaweza.Kwani hiyo imekuwa primary /secondary school? Mapenzi ni sehemu ya maisha na umri ukifika ni sharti u-socialise, vinginevyo ni hatari kwa mtu mzima kuwa mpweke na inaweza kupelekea msongo wa mawazo. Hao ni watu wazima bhana..; vipi kwa wanandoa wanaosoma chuoni hapo pamoja? Na hata waliooa au kuolewa waliwezaje bila kutongozana kwanza? Au wanatingozana wakiwa watatu kama sheria inavyotaka? Au wenzetu wanaoa bila kutongoza, unabeba tu kama bidhaa kwenye supermarket? Hizi dini nyingine hizi. Ndio maana Seminary za hawa majamaa huwa wanaishia kupata mazero tu kila mwaka, maana wanaacha/wanashindwa kusimamia vitu vya msingi vilivyowaweka kazini wanabaki kutafuta umaarufu kwa mambo ya kishenxi shenxi tu.., mbadilike bwana..
Maana ya chuo kwako uzinzi ni halali? waendelee na moto huohuo ili nidhamu irudi hapo chuoniNini maana ya chuo? Labda kama wanamanisha madrsa
Upo sahihi Sana, elimu itolewe tu Siyo kufanya Ndio sheria, umri wao umeshafika 18 na kwa mujibu WA nchi yetu ni MTU mzima Ndio mana ruksa hata kubeba mimba mavyuoni. Hicho cha kipekee.Kuwafukuza siyo sahihi wala sidhani kama ni upendo wa kiislamu. Pia, sidhani kama wewe hujawahi kuzini na visichana ujanani mwako! Hao watoto wanaitaji msaada na mafundisho ili wajirekebishe.