Wanafunzi 100 wapata mimba ndani ya miezi mitatu

Wanafunzi 100 wapata mimba ndani ya miezi mitatu

Mr worldwide

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
348
Reaction score
740
Habari Jf
Hii imetokea huko mkoani Ruvuma wilayani Tunduru, katika kipindi hiki cha covid19 wanafunzi 100 wamepata ujauzito


IMG-20200503-WA0016.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walijulikane kuwa hao ni wanafunzi?Nani aliwakusanya akaenda kuwapima?. Shule zikifunguliwa wakuu wa Shule watatoa takwimu Nani karudi nani kasepa otherwise Tv zetu zimeamua kuuza Chai.
 
Back
Top Bottom