Wanafunzi 100 wapata mimba ndani ya miezi mitatu

Wanafunzi 100 wapata mimba ndani ya miezi mitatu

Hayo ni matunda ya mradi wa Fatma karume na Maria Sarungi pamoja na kaka yao zito.
 
Mimba, magonjwa ya ngono, utoaji mimba, na vifo vitarajiwe kabisa katika kipindi hiki cha wanafunzi kuwa nyumbani kuanzia wa shule ya msingi hadi vyuoni.
 
Habari Jf
Hii imetokea huko mkoani Ruvuma wilayani Tunduru, katika kipindi hiki cha covid19 wanafunzi 100 wamepata ujauzito

View attachment 1438542

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nilitegemea sana.
Hali ya hewa tz na vitoto vyenye kiherehere vimebalee na vipo vipo tu mitaani...
Hata dar, jirani kwetu kuna videnti vya sekondari vinaliwa taiming na masela! Vingine nina uhakika vimeshaliwa..
 
Waambie wahuni kuna jela🤣
 
Sasa tatizo ni la serikali ,mwalimu au mzazi?

Lea mtoto wako katika maadili mema ,mkumbushe kutokupokea zawadi za wanaume hovyo hovyo,mfundishe kuwa na hofu ya Mungu pia.

Mbona hata huku mashuleni tunawafukaza watoto wenu kwa kuwa na mimba? Sasa suruhu ni nini unadhani?
Niliandika humu.... Ila Lumumba mkaniona Fala.

Sio mimba tu, mpaka Corona inaisha, wanafunzi watarudi masomoni wana HIV.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliandika humu ila mods wakafuta.
Nilishauri shule zijipange kupima mimba mara baada ya kufungua
 
Back
Top Bottom